Wale wakulinda Kura Mpooooooo

Wale wakulinda Kura Mpooooooo

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
384
Reaction score
65
10390558_609210192559357_9149972458785168864_n.jpg
 
Hivi in kwa mini ccm wanafurahi hili jambo hivi..??
 
HAPA NDIPO PANAPOSTAAJABISHA
MWENYE AKILI NI LAZIMA ATAJIULIZA SANA!,KWA NINI WALIFURAHIE SUALA HILI?
**HORIFYING**
ii
 
Mie nitarudi nyumbani maana hawa polisi hawa mmmmmmh siwaamini kabisa
 
Wajiandae kuongeza magereza na makab...., manake kuwaaikiliza wananchi hawatakubali, baba riz keshawaambia ole wao wakubali, wameogopa
 
Sijafikia kuamini bado kuwa nchi hii itapelekwa mbele na watoto wa kiume wanaotoboa masikio na kujichubua ngozi ya mwili. Kupaka poda tuwaachie kina dada
 
Tutapanda juu ya miti kulinda kura zetu na juu ya bati si hamtaki mikusanyiko .
 
Hivi kura zinalindwa nje au ndani? Naomba waongeze idadi ya mawakala
 

Attachments

  • 1445610498709.jpg
    1445610498709.jpg
    62.6 KB · Views: 706
Mary Nagu kakamatwa na masanduku yaliyopigwa tayari KURA.

Goli la Mkono hilooo. Ninaamini hata kwa Wagombea wengine wa CCM, mambo ni hayohayo.
 
Back
Top Bottom