Wale wakeleketwa wa Upinzani emu tuelimisheni sera zenu kwenye vipengele vifuatavyo kwani huwa siwaelewi kwani huwa mna-contradiction nyingi

Hisha Sorel

Senior Member
Dec 27, 2017
192
140
Edit: Inaonekana wapinzani wenyewe dont know direction ya kisiasa ya vyama vyao kwani:
1. wanasahihisha lugha kwa typos za mwandishi (michapio) midogo midogo bila sababu
2. wanatukana mwandishi

hii ni sign tosha ya mtu asiejua jibu jamii forum (personal attacks or ad hominem
nawapa pole in advance



Hakuna kitu chepesi kama kuelewa msimamo wa vyama kwa nchi za Magharibi: siasa za kushoto na kulia, matumizi vs kubana matumizi, uhamiaji huru vs vizuizi vya uhamiaji, ubeberu vs ujamaa. Yani ni simple!

Lakini Tanzania hili ni swali ngumu kwani: mtazamo wa wakubwa wa vyama vya upinzani huwa haufanani na unabadilika kulingana na mazingira.
Tundu Lissu
amepokea tuzo kutoka conservative organisations wakati: anataka kutoa sheria inayopinga ushoga, anataka kuongeza spending kwenye huduma za jamii.

Mh Zitto Kabwe anaonekana ni supporter wa left leaning policies, Maalim seif anaonekana ni Zanzibar Nationalist mwenye msimao mkali kwenye maswala ya kijamii (social conservative).

KIKWELI NDUNGU ZETTU SIWAELEWI
SO HII NDO CHANCE KWA WALE WATAALAM WA SERA KUTOA BRIEFING.

SERA ZA CHAMA CHAKO CHA UPINZANI NI ZIPI KWENYE:

1. ELIMU

2. JAMII (USHOGA, HAKI ZA WANAWAKE, UHURU NA UTAMADUNI)

4. KIUCHUMI

5. UHAMIAJI NA MAMBO YA NJE

6. USALAMA WA TAIFA

7. MIUNDOMBINU

NK.
 
Nani kakwambia vyama vikuu vya upinzani vina sera moja?
Hivi vyama vyote vina ilani zao za uchaguzi jisumbue kidogo kutafuta na kusoma na vinajibu maswali yako yote
Ama kwa chama chako sera yake inategemea Jiwe kaamkaje
 
Mwanzo mlikuwa mnatuaminisha kuwa wapinzani ndio wanawazuia/wanawachelewesha kuleta maendeleo. Sasa mko wenyewe uwanjani ajabu bado mnawawaza wapinzani. Tunahitaji arusha iwe kama carufonya
 
Nani kakwambia vyama vikuu vya upinzani vina sera moja?
Hivi vyama vyote vina ilani zao za uchaguzi jisumbue kidogo kutafuta na kusoma na vinajibu maswali yako yote
Ama kwa chama chako sera yake inategemea Jiwe kaamkaje
mi nadhani ufahamu, ila asante kwa kushiriki
 
Back
Top Bottom