Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,710
- 8,008
Mambo vipi wadau, Wale wapenzi wa Pub G Mobile season 10 imepamba moto. Vipi tunaonaje game msimu huu. Server ya Africa iko mbioni kuwekwa.
Niambie unapenda sana server gani, Sanhok, Erangel au Miramar. Vipi kuhusu Zombie mode? Tunaweza kupambana na wakina Levinho na Panda? Bunduki gani unazipendelea sana?
Ulishapiga Chicken dinner mara ngapi na ipi ilikuwa ngumu. Na mengine mengi.
Karibuni wadau.