Wale wa ...!

yan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa jenzi!!

:biggrin1: hivi kombolela nayo ni sports?!!
 
mpaka nastaafu huu mchezo wa kombolela nilikuwa nakata rekodi ya kutokamatwa hata siku moja na nilikuwa bingwa wa kubutua
sasa leo utakamatwa na utasafa mchezo mzima maana umekutana na magwiji!!
 
mpaka nastaafu huu mchezo wa kombolela nilikuwa nakata rekodi ya kutokamatwa hata siku moja na nilikuwa bingwa wa kubutua

Umenikumbusha kuna siku nilisafa hadi nikaanza kulia. Wote wakaamua kunisaidia kumsaka aliebakia. kumbe limeenda kwao, limeshaoga linafanya homework. Since then nikisafa kidogo tu nawaambia naumwa kichwa naenda kunywa dawa home.
 
hunishindi mimi, maana nilikua na rekodi ya kujificha na tubinti...halafu twenyewe ndio tulikua tunanizimikia,nilikuwa natupaje mambo...
heeeeeeee!!! hlo lilikuwa komboleeeeelaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
heeeeeeee!!! hlo lilikuwa komboleeeeelaaaaaaaaaaaaa!!!!!!

hiyo ndio ilikuwa siri ya kombolela kuwa maarufu...sasa we unadhani watu wawili tu wanatafutwa masaa hadi matatu hawaonekani
 
hiyo ndio ilikuwa siri ya kombolela kuwa maarufu...sasa we unadhani watu wawili tu wanatafutwa masaa hadi matatu hawaonekani
hahahahah!! haya tafuta leo wa kujifcha nae!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…