princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
ngoja members waje tuone nani ataanza kusafa!!!!Kombolela anytime...................
yan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa jenzi!!
basi we njoo tucheze karata!!Tukicheza kombolela sasa tutajificha wapi humu ndani?
basi we njoo tucheze karata!!
hahahahahah!! atakaebambwa ndie atalambwa!tucheze mapiku mgogoro kwenye kuombwa ma... aka nhyah au kalanga nani atakubali kulamba?
bora tucheze makwenzi!!Tucheze last card au albastini?
mpaka nastaafu huu mchezo wa kombolela nilikuwa nakata rekodi ya kutokamatwa hata siku moja na nilikuwa bingwa wa kubutuayan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa jenzi!!
mpaka nastaafu huu mchezo wa kombolela nilikuwa nakata rekodi ya kutokamatwa hata siku moja na nilikuwa bingwa wa kubutua
jamani tuchez esta esta. ila kombolela ndo mpango mzima mie ntafichama na nanii vileeee?
bora tucheze makwenzi!!
bi mdogo.yan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa jenzi!!
mpaka nastaafu huu mchezo wa kombolela nilikuwa nakata rekodi ya kutokamatwa hata siku moja na nilikuwa bingwa wa kubutua
ndo nilikoanza kujifunzia hii michezo, nilikuwa napenda kujificha na wasichana wakubwa, tukipotea ujue lazima nipate kitu, hapo hata sijabalehehunishindi mimi, maana nilikua na rekodi ya kujificha na tubinti...halafu twenyewe ndio tulikua tunanizimikia,nilikuwa natupaje mambo...