Hiyo ya mwisho nimeipenda. Kutongoza ilikuwa ni issue. Unaandika barua, utume mtu nk unaweza kusota hadi miezi hujafanikiwa. Siku hizi ndani ya dakika moja mchezo umekwisha
Umenikumbusha mbali kweli. Kinondoni stereo mtu unaagiza bia nne kwa mpigo ili barmaid akuone una hela. Enzi zile demu utampata wapi kirahisi. Na ukimpata unatangaza mtaa mzima. Wengi waliponea kwa wahaya pale lilipo jengo la red cross akiba au Livingstone karibu na kidongo chekundu. 0713 ilikua sio kama leo na demu ukimtamkia tigo anavaa anaanza. Leo hii usipoomba tigo unapewa kiaina yaani unarukishwa ukuta unaotenganisha k na tigo.
unamwambia demu wanisimamisha wima kama minazi ya pwani. wanichezesha raggae bila muziki! bibie swalama au macho yangu? nae anakujibu swalama! kisha wauliza tutakula au fitna? leo naishia hapa.
Hii ni majabu inabidi yaingie Guinness Book of RecordsKaka mi nalia na utalii tu! Tanzania ni nchi ya pili kwa kuwa na vivutio vingi vya kitalii duniani! Cha kushangaza ni ya 105 kwa kuvutia watalii duniani! Hivi kuna nchi kweli hapa?? Tungeweza kusamamia vivutio vyetu tu na kutangaza duniani kote, tusingekuwa nchi ya kukopa hata kidogo
Nchi ni tajiri sana hii
Pamba na Ginneries zake ilikuwa habari kubwa Mwanza na Shy
Mkulu, kuna kiwanda kilikuwa kinaitwa TanCut Almasi! Historia yake inauma sana, kifo chake kinasikitisha sana!
Mkuu umesahau Bedford...Landrover 109 na Jiefong za pua!Leyland CD ilikuja baadaye kidogo (1980s) kabla yake ilikuwa ni Albion, (attached) gear lever yake ilikuwa na urefu kama 1 metre long
Nakumbuka Kampuni ya Miwati Njombe walikuwa na tractors aina ya Ford County (attached) yalikuwa yanavuta hadi trailers 4 zilizojaza maganda ya miwati na ngano toka mashambani
Matajiri na viongozi wa serikali walitumia magari ya anasa kwa wakati huo aina ya land Rover
Mkuu kweli wewe ni wa zamani....Those were the days. Tanga Dar na KAMATA ilikua 51 shillings. unatoka Tanga kumi na moja jioni unaingia Dar kumi na mbili asbh. Sokoni mtu unatumwa na shilingi tano na chenji irudi. kodi ya nyumba chumba cha heshma shilingi arobaini maji plus umeme. Radio cassette ni zile memory Q. Mziki ni nginde . suruali kipira halafu imesukwasukwa kwenye mifuko. condm bado hazijulikani. sinema ni bure pale Drive inn tunakaa kwa nje matajiri wanaingia ndani na magari. wacheza sinema ni Chakravorty na Amitabh Bachchan. I REPEAT THOSE WERE THE DAYS. NENO KUCHAKACHUA AU MCHINA AU MKOROHO AU UTAPELI YALIKUA HAYAPO. changudoa ni Maggot mjini.
Walikuwa na musicians wakali akina Kawelee Mutimwana..Kyanga Songa..Kasaloo Kyanga..John Kitime na Kalala MbwewmbeBila kusahau bendi ya tancut almas,album yao ya mwisho iliitwa Mbuguswa loh full kujimwaya mwaya..those were days bwana