TihZ Senior Member Joined Jul 31, 2012 Posts 158 Reaction score 26 Sep 6, 2012 #1 Haya haya wale wanaopenda vitu vya mitumba kuna miswaki used tena migumu haiishi haraka kama unahitaji wasiliana nasi kupitia 0752723351
Haya haya wale wanaopenda vitu vya mitumba kuna miswaki used tena migumu haiishi haraka kama unahitaji wasiliana nasi kupitia 0752723351
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Sep 6, 2012 #2 Mmh, miswaki used! Nooo!...
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 605 Sep 6, 2012 #3 TihZ said: Haya haya wale wanaopenda vitu vya mitumba kuna miswaki used tena migumu haiishi haraka kama unahitaji wasiliana nasi kupitia 0752723351 Click to expand... Chupi za mtumba pia unazo?
TihZ said: Haya haya wale wanaopenda vitu vya mitumba kuna miswaki used tena migumu haiishi haraka kama unahitaji wasiliana nasi kupitia 0752723351 Click to expand... Chupi za mtumba pia unazo?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Sep 7, 2012 #4 Vipi siku hizi umeacha kuuza tigo used, I mean line za tigo used
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Sep 7, 2012 #5 used ya nini wakati michina imejaa tena yauzwa kwa mafungu,fungu sh 100.fungu moja lina miswaki 20