kijanamimi
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 245
- 177
kama vipi akaandamane kwenye ofisi za tiharayei 😂 maana naona amekazana kulalamika humu ndani na GPA yake ya 4.Kuna wenzio wana pass wameitwa.endelea kuwa na mentality hiyo ya kuwaza mambo ya GPA kwenye ajira.na ndio ushakatwa sasa
We umepanulia wapi mwenzetu,Inasikitisha sana kuona kijana anapoteza muda kusubiri ajira serikalini.
Panueni medula hizo kitaani muda haurudigi nyuma
Kila la kheri kwenu
Sio kigezo kaka, GPA labda kwenye BBT hukooooKuna mtu ako na GPA ya 4 lakini jina halijatoka shortlisted [emoji848][emoji848]
Lakini wenye lower second majina yametokea kwenye shortlisted,
Hii inaingiaje akilini?
wote ni wasomi, kama una GPA kubwa kafundishe vyuoniKuna mtu ako na GPA ya 4 lakini jina halijatoka shortlisted [emoji848][emoji848]
Lakini wenye lower second majina yametokea kwenye shortlisted,
Hii inaingiaje akilini?
Ilikuwa zamani kiongozi au labda kwenye kutafuta lecturer huko huenda inafaida ila huku kwenye kugombana na matax payer uwezo wako tu wakuongea na kubinya macho kutafuta halakumi..In the first place ukiwa bado hujawa interview kigezo kikubwa cha kuchuja upate shortlisted ni GPA miongoni mwa waombaji.
Mwenye GPA kubwa anapaswa kupewa kipaombele when other things remain constant.
Huwezi kumuacha kwenye shortlisted mwenye first class ukamuweka Mwenyezi second class kwa sababu gani ya msingi Kwa mfano?
Haingii akilini hata kidogo.
Huyu mwache na jipiei yake,GPA kubwa anaweza akawa kuna taarifa alishindwa kuziattach kwenye portal hivyo akawa disqualified.
Serikalini mambo ya GPA hayapo.labla uwe mkufunzi au researcher ndio wana hayo mambo.
We endelea na ubishi itakuingia tu akiliniKipimo cha performance ya elimu ya juu ni GPA,
Kwanini wao wasizingatie?
Basi watakuwa wanafanya makosa makubwa sana.
Yaani kwenye shortlisted uweke watu wa lower second uache wenye first class ?
Haingii akilini.
Au bahati kiongozi basi utanifanya niende kwenye ile kanafasi kao kamoja huenda wazee wakutanguliza mungu tuna nafasi hapaMm mwenyewe nimeachwa mkuu, wakati nilikuwa naomba kule utumishi wakitoa ajira na vyeti na taarifa zile zile zinazo tambuliwa na hii serikali lakin sikupata nafasi, sasa utumishi ni serikali ipi na huku TRA ni serikali ipi mpaka sasa, maana hawa watu wana fanya mzaha sana naona.
Mm sidhani kama ni bahati isipokuwa ni kukosa weledi mzuri tu kwenye taasisi Yao ila vitu vipo wazi tu kama utumishi tuliweza kuitwa kwani tusiitwe na kwao mkuu..?Au bahati kiongozi basi utanifanya niende kwenye ile kanafasi kao kamoja huenda wazee wakutanguliza mungu tuna nafasi hapa
Kiongoz walisema wanatumia ruti huenda kuna kitu ulikosea kidogo..Mm sidhani kama ni bahati isipokuwa ni kukosa weledi mzuri tu kwenye taasisi Yao ila vitu vipo wazi tu kama utumishi tuliweza kuitwa kwani tusiitwe na kwao mkuu..?
Acha tukae pembeni na kuku bali matokeo tu hakuna jinsi mkuu, kila jambo na wakati wake pia pengine ni muda bado mkuu.Kiongoz walisema wanatumia ruti huenda kuna kitu ulikosea kidogo..
Unajua nyinyi wenye jipiei kubwa mnajiamini saana ndo maana ni rahisi kufanya makosa ila akina sisi mild ndo ukute siku 3 unaandika barua tu.. unajaza neno moja moja kutengeneza akaunti
Njoo Mufindi huku tunachana mbao tu. Scania semi zinasubiri zipakie kusambaza mzigo kwenye majiji makubwa nchiniWe umepanulia wapi mwenzetu,
Hii bonge la pointi mkuu, ila ndo ivo kiongozi mwenyewe hapa nilisusa tangia 2020 baada ya kwenda dodoma kupiga interview ya TRA baada yakutoka watu wanatumiana maswali na mjibu ya paper tulilofanya kwenye WhatsApp dah iliniuma saana nikasema sifanyi Tena interviewAcha tukae pembeni na kuku bali matokeo tu hakuna jinsi mkuu, kila jambo na wakati wake pia pengine ni muda bado mkuu.
Hii bonge la pointi mkuu,Acha tukae pembeni na kuku bali matokeo tu hakuna jinsi mkuu, kila jambo na wakati wake pia pengine ni muda bado mkuu.
Sawa kiongoziNjoo Mufindi huku tunachana mbao tu. Scania semi zinasubiri zipakie kusambaza mzigo kwenye majiji makubwa nchini
Low mindedUwezo wako wa kufikiri ndio umeishahapo hakuna jinsi ya kujusaidia kufikiri zaidi.
Badala ya kujadili kwa hoja unafanya personal attacks na matusi [emoji3][emoji3]
I am Psycholigically matured enough siwezi kujali akili finyu kama yako.
Sasa sana sana Nabaki kukuhurumia wewe na wazazi wako.
Wanaongelea performance ipi wakati hizo ni first appointment? kwa swala la first appointment GPA kubwa lazima izingatiwe kwenye kufanya shortlisting ili uwe na uhakika kwamba hutaajiri vilaza in the first place......Hata hivyo inabidi wawe wanatafakali kwa kina na kuona iwapo hiyo CV ina umuhimu kiasi gani au la,
Mtu unaenda kumfanyia usaili hapo mwanzoni hiyo cv inakuwa na umuhimu kiasi gani Kwa mfano?
Muhimu ni matokeo ya chuo na jinsi atakavyojibu maswali ya usaili ,
Ndivyo vipimo vikubwa muhimu vya kuona atafanya kazi vizuri au la.
Eti kukosea kujaza cv ?!
Yaani unamkosesha mtu nafasi ya kwenda kutetea maisha yake sababu ya kukosea kujaza CV?
Hawa jamaa bana duuh.
Ni muhimu sasa kuvipima hivi vyuo vyetu kama vinatoa elimu yenye ubora unaotakiwa.......nilitegemea watu waliosoma kozi ya aina moja na wakapata first class wawe na uwezo uleule bila kujali chuo walichosoma.Jifunze kufanya mambo Kwa umakini kuepuka dosari ndogondogo, inaonekana ulifanya vitu kizembe ukategemea GPA ikubebe kumbe siyo.
Kuna chuo Cha SUA na chuo Cha st.john na vyote vinatoa tuseme bachelor of science in whatever field. Sote tunatambua jinsi vijana wa SUA tena vichwa hatari wakisotea kupata hata lower second class maana kupata upper second class au first class Kwa SUA wanasema ni kujidanganya.
Sasa mwanafunzi huyu wa SUA uwezo wake ni mkubwa sana lakini ana GPA ndogo na huyu wa St.John tunajua ni kihiyo lakini ana GPA kubwa, unadhani kigezo Cha GPA kinatakiwa kutumika?
Achana na issue za GPA kwenye ajira ukija kuujua ukweli utalia machozi yasiyokauka, Cha kufanya Songa mbele.
Yaa huenda kunakuwa na added advantage, lakini kuwa na weledi mkubwa ni muhimu sana kwenye utekelezaji wa majukumu ndo hapo swala la kiwango cha ufaulu, GPA linapoingia.kuna watu wana added advantage, pamoja na kuwa na lower second unakuta mtu kuna sehemu aliwahi kufanya kazi, hivyo ana experience au kuna ujuzi mwingine anao zaidi ya hiyo ya GPA darasani>
Wanaongelea performance ipi wakati hizo ni first appointment? kwa swala la first appointment GPA kubwa lazima izingatiwe kwenye kufanya shortlisting ili uwe na uhakika kwamba hutaajiri vilaza in the first place......