Wale wa TRA mkeka upo hewani

Ingekuwa hivyo makazini wote wangekuwa wenye first class tu. Lakini naona inategemea na kada ya mtu. Kuna mtu ana lower second lakini ana experience ya kutosha na kazi husika au certifications kibao huyo nae unamuachaje?!
 
Kuna watu nawafahamu, mmoja ana GPA 4 na mwingine 3 walienda usahili wa mchujo utumishi. Mwenye 4 akachezea za uso ila mwenzake akatoboa hadi oral na kupata kazi HESLB.

GPA ina apply sana kwenye kazi ukufunzi vyuoni au kwenye taasisi za utafiti.

Ingekuwa ni kazi hizo mbili, huyo mwenye 3 asingeitwa hata kwenye usahili. Na yamkini angeitwa angeweza hata kum buruza huyo mwenye 4. Wakati mwingine chuo watu hukariri na inapokuja kwenye uhalisia (practical) ni tofauti
 
Wewe ni popoma



Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishahapo hakuna jinsi ya kujusaidia kufikiri zaidi.

Badala ya kujadili kwa hoja unafanya personal attacks na matusi [emoji3][emoji3]

I am Psycholigically matured enough siwezi kujali akili finyu kama yako.

Sasa sana sana Nabaki kukuhurumia wewe na wazazi wako.
 

Mkuu samahani, hivi kumbe wamesema mtu asiyeridhika aende ofisi ya karibu?
 
Sasa ndugu kama cv inakushinda kuiandaa huko kwenye kazi za watu si ndo utaharibu...cv na cover letter nayo ni sehem ya kuchuja katika swala la interview..ndio maana hata kwenye ajira portal ukikosea/usipoweka cv,cover letter au ukikosea address unaachwa na sababu unapewa..ukisema waangalie GPA kubwa tu na hawa wenye gpa ndogo waende wapi?kikubwa uwe na cheti tu then swala la ajira ni ushindani mwingine, gpa ni huko chuo tu..
 
Ingekuwa GPA kubwa ndio Akili , Kashindwa Andika Hata Cover letter 😄,Mbona wenzie wameitwa
 
Watu wengiiii hvyo vigezo vyako watu zaidi 200 wanavyo mliopata kajaribuni bahati tuliokosa tuombe mungu next time ww unafikiri kila alieomba achukuliwee hyo interview siitakuwa mwezi mzima
 
Watu wengiiii hvyo vigezo vyako watu zaidi 200 wanavyo mliopata kajaribuni bahati tuliokosa tuombe mungu next time ww unafikiri kila alieomba achukuliwee hyo interview siitakuwa mwezi mzima
Ni kweli mkuu acha tukubali matokeo tu kwa sasa.
 
Never give up brother mpk kieleweke zikitoka tena tusichoke mimi mwenyewe nimekosa na qualification zote nnazo hila ule mkeka ulivyo na nyomi 6000+ halafu sipo nimeona sio wakati wangu
Ni kweli ila wangesema basi mtu hukuitwa interview kwasababu hii na hii, lakin kukaa kimya na watu hatuelewi tulipo kosea kwenye kwenye maombi ya kazi zao ni kutunyima haki za msingi ili hali tunaona watu wameitwa kama tulivyo omba sisi.
 
Yaaani mtu ako na first class GPA ya 4 unamuacha kwenye shortlisted?

Hii haikubaliki.
 
Competency na integrity ya walofanya shortlisting iko questionable?! [emoji2955]

In the first place unamuachaje alopata first class GPA ya 4 na kumuweka mwenye lower kwa mfano?
 
Competency na integrity ya walofanya shortlisting iko questionable?! [emoji2955]

In the first place unamuachaje alopata first class GPA ya 4 na kumuweka mwenye lower kwa mfano?
first class haimfanyi mtu kupewa priority kubwa ya kuchaguliwa kufanya interview jomba
maboss siku iz wanaangalia san CV na barua
punguza lawama
 
Kuna mtu ako na GPA ya 4 lakini jina halijatoka shortlisted [emoji848][emoji848]

Lakini wenye lower second majina yametokea kwenye shortlisted,

Hii inaingiaje akilini?
kuna watu wana added advantage, pamoja na kuwa na lower second unakuta mtu kuna sehemu aliwahi kufanya kazi, hivyo ana experience au kuna ujuzi mwingine anao zaidi ya hiyo ya GPA darasani>
 
Competency na integrity ya walofanya shortlisting iko questionable?! [emoji2955]

In the first place unamuachaje alopata first class GPA ya 4 na kumuweka mwenye lower kwa mfano?
Kuna wenzio wana pass wameitwa.endelea kuwa na mentality hiyo ya kuwaza mambo ya GPA kwenye ajira.na ndio ushakatwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…