GPA kubwa anaweza akawa kuna taarifa alishindwa kuziattach kwenye portal hivyo akawa disqualified.In the first place ukiwa bado hujawa interview kigezo kikubwa cha kuchuja upate shortlisted ni GPA miongoni mwa waombaji.
Mwenye GPA kubwa anapaswa kupewa kipaombele when other things remain constant.
Huwezi kumuacha kwenye shortlisted mwenye first class ukamuweka Mwenyezi second class kwa sababu gani ya msingi Kwa mfano?
Haingii akilini hata kidogo.
Unataka kusema mtu mwenye gpa ya first class na mwenye experience miaka 5 na lower class watakua sawa??!!
GPA kubwa anaweza akawa kuna taarifa alishindwa kuziattach kwenye portal hivyo akawa disqualified.
Serikalini mambo ya GPA hayapo.labla uwe mkufunzi au researcher ndio wana hayo mambo.
Mm mwenyewe nimeachwa mkuu, wakati nilikuwa naomba kule utumishi wakitoa ajira na vyeti na taarifa zile zile zinazo tambuliwa na hii serikali lakin sikupata nafasi, sasa utumishi ni serikali ipi na huku TRA ni serikali ipi mpaka sasa, maana hawa watu wana fanya mzaha sana naona.Dosari zimeanza kuonekana mapema sana hivi ?
Labda ana experience au CV/cover letter aja andaa vzr.Kuna mtu ako na GPA ya 4 lakini jina halijatoka shortlisted [emoji848][emoji848]
Lakini wenye lower second majina yametokea kwenye shortlisted,
Hii inaingiaje akilini?
Akilinjema, there's always next time.Ndiyo umuache mwenye GPA kubwa?
Au inabidi uwaweke wote wakashindwe wenyewe mbele?
Sasa kama hivyo ndivyo Ndiyo kisha uweke wa lower second uache wa first class ?
Je tukijenga hoja kuwa wameacha high performance wenye GPA kubwa ili kupunguza ushindani wapate kuchomekea watoto wao vilaza watasemaje?
BOSS UNAWEZA KUWA NA GPA KUBWA ILA HUWEZI KUANDAA CV YAKO, AU BARUA UMEANDIKA UNAVYOJUA WEWE, AU UME APPLY KITU KILICHOKUWA NA SIFA YA ZIADA MFANO BOARD NA WEWE HUNA, AU USIKUTE HATA ADDRESS ULIANDIKA YA UTUMISHI AU HUKUANDIKA KABISA, KWA KUANZIA LETE ATTACHMENT YA CV YAKO NA BARUA,Ndiyo umuache mwenye GPA kubwa?
Au inabidi uwaweke wote wakashindwe wenyewe mbele?
Sasa kama hivyo ndivyo Ndiyo kisha uweke wa lower second uache wa first class ?
Labda ana experience au CV/cover letter aja andaa vzr.
Hata hivyo inabidi wawe wanatafakali kwa kina na kuona iwapo hiyo CV ina umuhimu kiasi gani au la,
Mtu unaenda kumfanyia usaili hapo mwanzoni hiyo cv inakuwa na umuhimu kiasi gani Kwa mfano?
Muhimu ni matokeo ya chuo na jinsi atakavyojibu maswali ya usaili ,
Ndivyo vipimo vikubwa muhimu vya kuona atafanya kazi vizuri au la.
Eti kukosea kujaza cv ?!
Yaani unamkosesha mtu nafasi ya kwenda kutetea maisha yake sababu ya kukosea kujaza CV?
Hawa jamaa bana duuh.
Wewe ni popomaIn the first place ukiwa bado hujawa interview kigezo kikubwa cha kuchuja upate shortlisted ni GPA miongoni mwa waombaji.
Mwenye GPA kubwa anapaswa kupewa kipaombele when other things remain constant.
Huwezi kumuacha kwenye shortlisted mwenye first class ukamuweka Mwenyezi second class kwa sababu gani ya msingi Kwa mfano?
Haingii akilini hata kidogo.
Jifunze kufanya mambo Kwa umakini kuepuka dosari ndogondogo, inaonekana ulifanya vitu kizembe ukategemea GPA ikubebe kumbe siyo.Hata hivyo inabidi wawe wanatafakali kwa kina na kuona iwapo hiyo CV ina umuhimu kiasi gani au la,
Mtu unaenda kumfanyia usaili hapo mwanzoni hiyo cv inakuwa na umuhimu kiasi gani Kwa mfano?
Muhimu ni matokeo ya chuo na jinsi atakavyojibu maswali ya usaili ,
Ndivyo vipimo vikubwa muhimu vya kuona atafanya kazi vizuri au la.
Eti kukosea kujaza cv ?!
Yaani unamkosesha mtu nafasi ya kwenda kutetea maisha yake sababu ya kukosea kujaza CV?
Hawa jamaa bana duuh.
Kipimo cha performance kwenye ajira ni utendaji kazi sio GPA.Kipimo cha performance ya elimu ya juu ni GPA,
Kwanini wao wasizingatie?
Basi watakuwa wanafanya makosa makubwa sana.
Yaani kwenye shortlisted uweke watu wa lower second uache wenye first class ?
Haingii akilini.
Mkuu unguwa na Akili ungeandika barua vizuri ukaitwa... Akili zako ndogo na GPA ya kupigia chabo...Haiwezekani wenye GPA Kama yako wameitwa wewe usiitwe...Hujui kuandika barua na maelekezo hufati... Unaona sehemu wamekuambia Attach cheti...unastach Cv .... Sasa utakula GPA yako.. kama una GPA kwann usiajiliwe ukawa tutorial assitant? Au lecture? Ukiona hivyo ya chabo hiyo,Hizo hadithi za kusema kuwa na GPA kubwa sio kitu huwa ni maneno ya wakosaji.
Sasa bila kuwa na kipimo cha performance itakuwa na maana gani Kwa mfano?!
Mbona mnatetea udhaifu?!
Ni kweli namba za kufanyia usahili haionekani.Mbn hiyo registration # hazionekani kwenye account, au ni kwangu mie tu binafsi