We ni jinsia ME au KE?!! Maana lazima tujue ili tuangalie protocol,na pia una private transport au public? Me ni mwenyeji huku japo makazi Dar na nipo kwa wkend!!
Mkoa wa Tanga una wilaya zake,kuna wilaya ziko pwani na kuna wilaya ziko bara,Hawa wa maeneo ya bara,ndio wanaoshindwa kutofautisha kati ya L na R,kama vile Wilaya ya Lushoto,Muheza,Korogwe ,Handeni,Kilindi ,lakini wa maeneo ya wilaya za Tanga mjini na Pangani ni tofauti,labda ukutane na mhamiaji kutoka wilaya za bara.
Mkoa wa Tanga una wilaya zake,kuna wilaya ziko pwani ma kuna wilaya ziko bara,Hawa wa maeneo ya bara,ndio wanaoshindwa kutofautisha kati ya L name R,kama vile Wilaya ya Lushoto,Muheza,Korogwe ,Handeni,Kilindi ,