K king otty Member Joined Dec 6, 2013 Posts 6 Reaction score 2 Jan 17, 2014 #1 Jaman kwa wale wanaoishi tabora tuwe angarau tunakutana ajiri ya kubadirishana mawazo ya kimaisha na vitu vingine
Jaman kwa wale wanaoishi tabora tuwe angarau tunakutana ajiri ya kubadirishana mawazo ya kimaisha na vitu vingine
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 510 Jan 17, 2014 #2 wazo zuri ntakuwepo huko tabora kuanzia mwezi ujao