Siku zinapita na miaka inaenda,iwapo kuna member toka Shinyanga Commercial Institute humu ndani 2kumbukane jamani. safari za 'USHI',mambo ya 'mlingoti'.... Nasikia imekuwa ni chuo cha ualimu sasa,2habarishane!!!!!!
Do mzee lini hiyo ulikuwa hapo mi nakumbuka wa SHYBUSH sijui wapo kweli anyway shycom walikuwa jirani sana wkt nikiwa BULUBA. umenikumbusha mbaaaaaaali
hesima mbele mwanajamvi
Shukran mkuu! nilikuwa SHYCOM miaka ya 1997-99. Shybush walikuwa nje kidogo ya mji wa Shinyanga. Buluba nao tulikuwa nao jirani sana. We ulipita pale miaka gani,uko wapi sasa na unashughulika na nini mkuu?