Wale wa pombe kali (Spirits), tuambiane aina nzuri za pombe

GYNEOCOLOGIST

Senior Member
Sep 13, 2016
171
110
Wakuu tujuzane kwa watumiaji wa hard drinks (spirits).

Taja ni aina gani ya spirit kati ya ulizotumia umeiona ipo poa zaidi kwako, eleza sababu. Pia taja aina gani ya spirit kati ya ulizotumia umeiona haipo poa, sababu pia eleza

pombe.jpg


pombe 2.png
 
Back
Top Bottom