Izo tube ni kubwa sana. Mimi bado nipo na msimamo wangu ule ule, 3 na 4 zitajaa kwa wakati mmoja.Namba tatu itajaa kwanza!!! Ukiangalia vizuri jinsi hizo tube za kwenda kwenye namba nne ni ngumu sana namba nne kujaa labda kama ukiwa na pumping mechanism kutoka namba 2 au 1!!!
Refer capillary action...gravitational forces, hydrostatic na hydrodynamic forces...

