malagira roman
Member
- Sep 22, 2014
- 58
- 3
Mbona kwenye profile yangu hasa kwenye vyuo nilivyochagua isipokuwa kimoja capacity vinaonesha "0"???? na hicho kimoja capacity yake inabadilika badilika? maana mara ya kwanza capacity ilikuwa 100 baadae ikachange kuwa 94 ikarudi 100 na sasa 90! Hivi ni kwann inakuwa hivyo na inamaana gani???????