WALE WA MUCCoBS KARIBUNI SANA.

WALE WA MUCCoBS KARIBUNI SANA.

Apex

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
425
Reaction score
61
Ndugu zangu mabibi kwa mabwana mlochaguliwa chuo cha ushirika moshi(SUA ) napenda kuwapongeza sana kwani ni sehemu sawia kabisa wala haujakosea njia, muccobs ni chuo kigumu kimasomo,mfano kwa experience yangu BAF kama unapenda bata basi GPA ya 2.0-2.6 ni halali yako kabisa na zaidi unaweza ukajiondoa mwenyewe tu. MUCCoBS kuna maprofesa na Madkt wa kutosha kabisa,pia a/c ina walimu waliobobea kabisa na wanaotambulia na Bodi ya wahasibu NBAA waliojipatia CPA zao . ZAIDI MUCCoBS ni chuo pekee kusini mwa jangwa la sahara kinachofundisha elimu ya ushirika,na hakuna course yoyote inayopita MUCCoBS bila kusoma Cooperative,kuna kozi mfano BAAF tunaenda mbali mpaka kusoma Saccos a/c nk. IKUMBUKWE SERIKALI IMERUDI KWA NGUVU KUWEZESHA VYAMA VYA USHIRIKA KWA KUPELEKA MSWADA ULIOJADILIWA LEO BUNGENI, Hivyo wana MUCCoBS BILA SHAKA AJIRA NI ZA KUFIKIA TU KAMA UKIACHA USHARO. MOSHI NI MJI MZURI WENYE MANZAR YA UWEZESHAJI KATIKA ELIMU YAKO..pia bata siku moja moja LA LIGA,MALINDI nk si mbaya..KUMBUKA Muccobs zaidi inatoa course za biashara hvyo ni sehemu sahihi pa kupata elimu ya kujiajiri zaidi ya kutegemea ajira zinazotolewa kwa kujuana mtaani. Muccobs ni chuo kinachotoa watu makini na safi makazini kwao,kwa taarifa tu kuna Bank ambazo kila mwanafunzi wa muccobs akitokea kwenye a/c field umuchukua bila kuumiza kichwa..MUCCoBS ni sehemu ya msuli kweli kama vile advance,ukitaka bata unaliwa kichwa mapema sana.KARIBUNI MUCCoBS CENTRE OF EXCELLENCE ON COOPERATIVE AND SOCIAL STUDIES EAST AND CENTRAL AFRICA.
 
Kwa waliochaguliwa kujiunga na masomo ya Elimu ya Juu Via TCU,wamepewa fursa tena ya kuchagua chuo kingine (ikiwa hujardhika na chuo ulichopangwa) katika course ulizo omba kama ilivyo katika profile yako hivo ikiwa umepangwa Udom basi waweza badilisha ukasoma IFM endapo tu hiyo course ipo ktk chuo unachopenda kuhamia, mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16/9/2013
 
sasa mkuu first year wanaripoti lini apo muccobs coz nimevisit website yao hawajapost chochote kuhusu wanaoripoti mwaka wa masomo 13/14
 
Tarehe ya Kuripoti ni kuanzia 15/10,muda wa registration ni wiki mbili tu kuanzia hiyo tarehe(kwa freshers ni vizuri ufanye usajili wiki ya kwanza)
Kwa maelezo zaidi ingia kwenye website ya chuo na uangalie almanac pamoja na prospectus ya chuo.
Karibuni sana.
 
Nimechaguliwa i.t hapo muccobs mkuu. . .

Dr Mwende :take a peace of paper,write your name,write your program and your registration number!! ! Hahahaha...quiz kila siku,assignment zakutosha,duuu...jipange !
 
Nimechaguliwa i.t hapo muccobs mkuu. . .

Dr Mwende :take a piace of paper,write your name,write your program and your registration number!! ! Hahahaha...quiz kila siku,assignment zakutosha,duuu...jipange !
 
ht mienlisoma hapo diploma ya it...nimemalza mwaka jana...jiandae kwa theory nyng kuliko practical...unasoma masomo ya ushirika na biashara meng kuliko ya ict yenyewe....field unafanya mwez m1...yan majanga tu.....fo sure cyo chuo kizur kwa i.t
 
. .najuta kupangiwa i.t. . .bam nlikua nakimbia duh
 
ht mienlisoma hapo diploma ya it...nimemalza mwaka jana...jiandae kwa theory nyng kuliko practical...unasoma masomo ya ushirika na biashara meng kuliko ya ict yenyewe....field unafanya mwez m1...yan majanga tu.....fo sure cyo chuo kizur kwa i.t

mkuu i.t soko lake la ajira vp. .wewe umepata ajira , i dnt even undrstand kitengo cha i.t
 
hakuna kitu kibaya kwa mpiga msuli kila kitu kizur! Kiukwel bora TEKU Kuliko muccobs coz mpaka nw matokeo yao yanawekwa kwnye ubao!duuuu pole TEKU AU ST JOHN...?
 
Hvi vyuo vyenu vya mchangani navyo ni vya kujadiliwa humu?
 
Back
Top Bottom