hakuna kitu kibaya kwa mpiga msuli kila kitu kizur! Kiukwel bora TEKU Kuliko muccobs coz mpaka nw matokeo yao yanawekwa kwnye ubao!duuuu pole TEKU AU ST JOHN...?
ndugu jaribu kuongea vitu ambavyo una evidence navo,sio kuropoka ovyo.umeingia kwenye website ya chuo ukakosa hayo matokeo?