wale wa milambo secondari mnakumbuka nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wale wa milambo secondari mnakumbuka nini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ntaramuka, Jan 13, 2009.

 1. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #1
  Jan 13, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana JF mliosoma Milambo Sekondari pale Tabora mmo humu ndani kweli? Na kama mmo mnajua kuwa shule yetu ni miongoni mwa shule korofi sana hapa Tanzania?

  Mimi sitasahau siku wanafunzi wa Milambo walivyovyamia na kuwachapa wanafunzi wa Taabora girls mwaka 2004. Niliogopa sana kwani ndo kwanza nilikuwa ninajiunga form 5
   
Loading...