Wale wa MD UDOM tujuane mapema jamani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,290
Points
2,000

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,290 2,000
ni vyema tukajuana ili tuwe tunapeana updates kabla ya kufika chuoni. Asanteni na karibuni
Chuo cha kata eti kinatoa MD! Tutakufa sana. kama MUHAS is somehow compromised, huko UDOM Kata kutakuwaje? Unisamehe maana najua utawaka, but let me say it openly! Competent Professors wa kufundisha Medicine mliwatoa wapi?
 
Joined
Jun 27, 2014
Messages
45
Points
95
Joined Jun 27, 2014
45 95
Chuo cha kata eti kinatoa MD! Tutakufa sana. kama MUHAS is somehow compromised, huko UDOM Kata kutakuwaje? Unisamehe maana najua utawaka, but let me say it openly! Competent Professors wa kufundisha Medicine mliwatoa wapi?
Huna hoja, maneno ya mitaani hadi chuo kiruhusiwe tcu imekikagua na imethibitisha kina uwezo,naoma unaogopa nafasi ya chuo chako saivi inachukuliwa
 
inyele

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Messages
844
Points
500

inyele

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2017
844 500
Mkuu usikariri! Mambo yanabadilika; mbovu anaweza kuwa bora lakin poa yule unayemuona bora kesho anaweza akawa mbovu
Chuo cha kata eti kinatoa MD! Tutakufa sana. kama MUHAS is somehow compromised, huko UDOM Kata kutakuwaje? Unisamehe maana najua utawaka, but let me say it openly! Competent Professors wa kufundisha Medicine mliwatoa wapi?
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
14,706
Points
2,000

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
14,706 2,000
Professors wamewatoa wapi? Nilimaliza UDSM 1982, nilishatoka serikalini decades back!
Kumbe we ni mzee basi sawa

Kwa hiyo ulitaka chuo cha afya kibaki kimoja tanzania muhas pekee

Nmesoma muhas zaman lakini serikali ipongezwe kwa kuongeza vyuo vya afya

Hizi akili na mawazo yako yamekaa kizee sana ani
 
Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,290
Points
2,000

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,290 2,000
Kumbe we ni mzee basi sawa

Kwa hiyo ulitaka chuo cha afya kibaki kimoja tanzania muhas pekee

Nmesoma muhas zaman lakini serikali ipongezwe kwa kuongeza vyuo vya afya

Hizi akili na mawazo yako yamekaa kizee sana ani
Ni kweli mimi ni mzee. Umemaliza Muhas lini? Au ndio mnachanganya kichwa na magoti???????
Tuache hayo, Sijasema chuo kisianzishwe au ni hatua mbaya, ni hatua ya kupongezwa lakini vyuo vyenu ni sub-standard! let the gov equip these newly established institutes with the right academic human resources, equipment in terms of accredited labs etc! Particularly when it comes to medical field!
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
14,706
Points
2,000

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
14,706 2,000
Ni kweli mimi ni mzee. Umemaliza Muhas lini? Au ndio mnachanganya kichwa na magoti???????
Tuache hayo, Sijasema chuo kisianzishwe au ni hatua mbaya, ni hatua ya kupongezwa lakini vyuo vyenu ni sub-standard! let the gov equip these newly established institutes with the right academic human resources, equipment in terms of accredited labs etc! Particularly when it comes to medical field!
2009..... Na ni neurosurgeon hivi sasa

Nmeichukua Massachusetts.... Muhas ina mapungufu mengi kuliko unavyoweza kufikiri
 
Rosicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Messages
416
Points
500

Rosicky

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2015
416 500
Tega masikio mhaya wewe nikwambie! BSc with Education (chemistry, biology), then MSc Microbiology-Immunology, PhD Malaria Immunology- T and B cell response from immune individuals in endemic African areas.........
naomba kazi basi boss wangu
 
Forum statistics

Threads 1,343,414
Members 515,033
Posts 32,783,933
Top