Wale wa MD UDOM tujuane mapema jamani

Wale wa MD UDOM tujuane mapema jamani

2009..... Na ni neurosurgeon hivi sasa

Nmeichukua Massachusetts.... Muhas ina mapungufu mengi kuliko unavyoweza kufikiri
Kumbe unakubaliana na mimi! Muhas ina mapungufu, siyo ile ya 1970s! massachusetts hapo usiseme! Most discoveries in the US zinatoka hapo, if I am not mistaken! Hongera sana. Mko na Prof. Kahamba au siyo!
 
naomba kazi basi boss wangu
Mh, kwa Magu siyo rahisi labda kwenye donor funded research projects ambazo hana mandate nazo.... Wafuate Profs wana projects ambazo wanaweza kukupa kazi nzuri. ila nao ni matatizo..... wana ka kunyanyasa kidogo...
Si unajua Tanzania and Africa in general, ukistaafu hakuna anyekuhitaji kama huna refer kuendelea kufundisha..... Nimefundishwa na Prof Peter Pearlman, amefia ofisini at over 80 yrs! bado Stockholm University walikuwa wanamwitaji!
 
Kumbe unakubaliana na mimi! Muhas ina mapungufu, siyo ile ya 1970s! massachusetts hapo usiseme! Most discoveries in the US zinatoka hapo, if I am not mistaken! Hongera sana. Mko na Prof. Kahamba au siyo!
Yaah Muhas ina mapungufu mkuu

But what can we do then?
 
Chuo cha kata eti kinatoa MD! Tutakufa sana. kama MUHAS is somehow compromised, huko UDOM Kata kutakuwaje? Unisamehe maana najua utawaka, but let me say it openly! Competent Professors wa kufundisha Medicine mliwatoa wapi?
watu Kama nyie ndo mlikua mnatuuza kwa wazunga wakati wa kutafta Uhuru wa Afrika 😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
 
Back
Top Bottom