Nakumbuka Smart wa area watu walivyokuwa wanatoka mchaka mchaka. Siko zote nilikuwa nawaza ingekuwa pale smart area watu wanakimbia bila nguo KE wangekuwa wanakimbia huku wakishikilia matiti ila ME mikono lazima iwe mbele kushikilia kengele isigongegonge...... kila nikiwaza hivo naaacheekaaa napasuka mbavuu hehehehehehheee.
Pia nakumbuka JIITEWUTE...
Crazy Kasie.
Shule ilisheheni vipaji lukuki. Taaluma ilikuwa juu.Ukiona hii nembo unakumbuka nini..,[emoji23][emoji23]View attachment 946374
Kusaidia Kivip kwa mfano, maana ipo Chini ya Jeshi,Shule ilisheheni vipaji lukuki. Taaluma ilikuwa juu.
Siku hizi hakuna below 50 tena, taaluma imeporomoka mno.
Shime tuliosoma hapo tujitahidi kuisaidia shule ili irejee kwenye viwango vya juu.
Kweli asee ila kwa sasa iko kibiashara zaidi kutokana na uwezo wa shule kubeba idadi kubwa sana ya wanafunzi nafikiri kwa Tanzania nzima.Shule ilisheheni vipaji lukuki. Taaluma ilikuwa juu.
Siku hizi hakuna below 50 tena, taaluma imeporomoka mno.
Shime tuliosoma hapo tujitahidi kuisaidia shule ili irejee kwenye viwango vya juu.