Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 548
Una uhakikisho wote wapo Tanzania?Kwa hizi comments.....
Nadiriki kusema, kumbe ni kweli Tanzania hakuna njaa
Una uhakikisho wote wapo Tanzania?Kwa hizi comments.....
Nadiriki kusema, kumbe ni kweli Tanzania hakuna njaa
Mwambie huyo..Una uhakikisho wote wapo Tanzania?
Baby njoo tupige Remy martin hapa...!Remy Martin & Black lebel ziko poa sana
Yeaah! The martin'sJohn walker
Vadmin
Grand
Martins
Ukitaka kupata akili basi tumia Juice ya maembe mix na pipi.Konyagi au k-vant nikimix na krest tonic water au evervess tonic water ni poa sana.
Valeur nikimix na stone tangawizi nayo iko poa sana.
Mfukoni nikiwa vyema sana ni Jack Daniels kwenda mbele.
Bb nxt w'end tuombe uzima...Baby njoo tupige Remy martin hapa...!
Njoo mama! Kitu iko hapa
Hizo mpaka nipate mualiko mkuu.Ukitaka kupata akili basi tumia Juice ya maembe mix na pipi.
Hiyo kitu hatari VSOP shikamoo bbBaby njoo tupige Remy martin hapa...!
Njoo mama! Kitu iko hapa
nmecheka sana mkuuuUkitaka kupata akili basi tumia Juice ya maembe mix na pipi.