WALE WA DIV 3 FORM 6 2016

WALE WA DIV 3 FORM 6 2016

swadakta
MIMI NI MWAJIRIWA NA KITAALUMA NI ELECTRICAL ENGINEER NINA DEGREE PIA NIMESAIRIWA NA BODI YA MAINJIA TANZANIA
MAONO YANGU KWA SERIKALI YETU KUPITIA WIZARA YA ELIMU WAMEKOSEA TENA KWA KIASI KIKUBWA SANA
UNAPOTAKA KUPANDISHA CUT OFF POINT HAKIKISHA UMEFANYA MABORESHO KTK ELIMU KWA UJUMLA
MFANO: MITAALA BORA, WALIMU WA KUTOSHA, VITABU, MAABARA ILIYOKAMILI PAMOJA NA MAZINGIRA BORA YA KUSOMEA
HAKIKA WALIO WENG WAMESOMA KWA MAZINGIRA YA TABU SANA HAD KUPA DIV3
HIVYO USIANGALIE KWAVILE UMEPATA WEWE TU SIO VIZURI HUU NI UBINAFSI
NA KWA UJUMLA SERIKALI YETU INAKURUPUKA KWAKILA SECTOR HASWA KTK MAAMUZI YAKE
injinia,, upo sahihi kabisa yani
lazima uwepo mfumu rasmi wa kubadilisha vigezo vya ufaulu
 
hakuna anaye omba upendeleo.. lakini kilicho tendeka kupandisha cutoff points hakikua cha kiundwana,, hata ivo grades pia zilipandishwa.. na tumezoea kuona upendeleo kwa comb zenye uzito kama pgm pcb na pcm sasa mwenzangu sjui kwann una moyo mgumu wa kuelewa logic ndogo kama hiyo,,,, inawezekana sana izo grade zilizokupitisha ww ni hizi za waliochujwa mwaka huu.
Kichwa chako ni kama cha panzi ndg yangu!!, unazijua alama za B za BRN? kwanini wanasema elimu ilivurugwa sana?.....B ya BRN toka kwa JK ni tofauti na B za vipindi vingine vilivyopita hata kama alama zitakuwa 80 sawa kwa zote. Science ni priority inakubidi utulie kimya kuna mahali hujaelewa alafu unajifanya kurekebisha waalimu wako
 
Itakua alsoma H kunanii uyooo....
Wanajulkana tuu ataa kwa maandshi....
 
Kichwa chako ni kama cha panzi ndg yangu!!, unazijua alama za B za BRN? kwanini wanasema elimu ilivurugwa sana?.....B ya BRN toka kwa JK ni tofauti na B za vipindi vingine vilivyopita hata kama alama zitakuwa 80 sawa kwa zote. Science ni priority inakubidi utulie kimya kuna mahali hujaelewa alafu unajifanya kurekebisha waalimu wako

mtu mwenye maarifa kichwani hakurupuki kuandika kejeli.. b ya elimu ya kikwete ni E+ kwa MH magufuli ya miaka hii huna data, huna uelewa
 
Ukisikia jambo uwe unauhakika na chanzo ulichopata habari, usije ukaleta maada zingine ambazo pengine ulikatiza mtaa ukakuta watu wapo faragha wanatamka watakavyo japokuwa wao hawajitambui; then unakuja mbio mbio kuripoti!!!. Usishindane na aliyeshika mpini, Prof anatengeneza njia ambayo ilikuwa ikitumika hapo awali. Tutazoea tu, huku mwanzoni tutashangaa sana, tutasema mengi, nk lakini itazoeleka na kupendwa hapo baadae!!!. Pole sana kwa yatokeayo Tanzania msimu huu; wahanga wengi na watakuwa wengi, baadae hawatakuwepo wahanga
Hivi anatengeneza nini kweli? Eti nasikia anaboresha elimu? Elimu haiboreshwi kwa kuchagua wachache bali kwa kuwa elimu bora walio wengi.
 
mtu mwenye maarifa kichwani hakurupuki kuandika kejeli.. b ya elimu ya kikwete ni E+ kwa MH magufuli ya miaka hii huna data, huna uelewa
Jamaa vipi wewe... Hivi tukisema zamani tunamaanisha kipindi cha Jk?? Ebi acha kuwa subjective.
 
Back
Top Bottom