naomba kuuliza, je serikali kusema kwamba hawa vijana waliopata division 3 kwa masomo ya science yaani pcb, pcm, pgm kwa kukosa D mbili je, utaratibu gani umewekwa ukizingatia vyuo vya diploma vimekaribia kujaa.. watabaki majumbani mwaka mzima kweli?
pili, grade zilizo tumiwa zimepandishwa juu D ya sasa ni b ya mwaka jana, huku ndo kuboresha elimu kweli?
tatu, nilisikia profesa ndalichako akisema kwamba mitihani ikivuja atajiuzulu.. na tetesi zinasema mitihani ilivuja , je atajiuzulu?
nne, kwanini serikali inaleta sheria mpya mwishoni mwa mafunzo kila mara? kwani hii ya D mbili ingesemwa tangu watahiniwa wanaanza form 5 ingeshindikana nn?
tano, kwa wanafunzi wa diploma kushtukizwa GPA ya kwenda degree iwe 3.5 je ni sawa kisheria ? ukizingatia wengine wapo mwaka wa mwisho..
asanteni.