Huku Kibaha hata dalili za mvua kunyesha hakunaHuku Mbagala mvua nimeisikia tangu SAA kumi usiku inamwagika kubwa kwa kiasi kile kile mpaka sasa. Mliopo barabarani tupeni hali ilivyo huko mlipo
Mshauri ahame NgarenaroHuko Arusha unaambiwa hali ni tete mvua imeanza tisa usiku mpaka mida hii inamwagika tu.Ndugu yangu kanipigia simu ana hofu balaa.
Mbezi ya kimara huku vilianza vimanyunyu lakini naona vimekata maisha yanaendelea kusonga japo kuna mawingu flank hv
Dar mji wa ajabu. Mvua ilionyesha Mbagala na Kigamboni kubwa sana, imepungua sasa hiviHuku Kibaha hata dalili za mvua kunyesha hakuna
Wapi?Uku me sijaona ata tone
wapi huko Lumumba auUku me sijaona ata tone
Upanga hakufai barabara na United Nation kuanzia junction ya Muhimbili mpk Tambaza kumejaa Maji magari madogo hayawezi kupita.Dar mji wa ajabu. Mvua ilionyesha Mbagala na Kigamboni kubwa sana, imepungua sasa hivi
Duh hii njia kila mvua inafurikaUpanga hakufai barabara na United Nation kuanzia junction ya Muhimbili mpk Tambaza kumejaa Maji magari madogo hayawezi kupita.
Mida ya 12 : 30 kulikuwa kuko poa, sijui baada ya hapoJangwani kunapitika?
Kabisa,,Duh hii njia kila mvua inafurika
Huko Arusha unaambiwa hali ni tete mvua imeanza tisa usiku mpaka mida hii inamwagika tu.Ndugu yangu kanipigia simu ana hofu balaa.