Wale vijana wawili

Sky Eclat umemsahau yule kijana ambaye anasemaga yeye ni rafiki mzuri wa Condoleezza Rice.
Huyu ndiye aliyeutia doa urafiki wa yule kijana Mwanajeshi na yule kijana wa Toyota.
Huyu kijana uliyemsahau alishawahi kufanya bonge la sherehe na kualika vigogo wakubwa wa serikali huku akidhania ya kwamba atatangazwa awe na nafasi kama ile ya YA MUNGU MAJALIWA. Wamewasha Video wanasubiri kugonga Cheers, yule kijana mwanajeshi akatangaza baraza na kwa bahati mbaya nafasi ile ya YA MUNGU MAJALIWA akapewa yule kijana wa TOYOTA. Sebule nzima ilikuwa na ulipata ukimya wa ghafla ova shetani kapita na sherehe ikaishia pale pale.
Hapa ndipo yale makundi pendwa yalizaliwa huku Richard Monduli akipelekwa Dodoma kumsulubu kijana wa Toyota.
 
Ilikuwa sh ngapi? Yule kijana wa chma hakupata mgao?
 
Kwa uandishi huu mlioanza kuuandika sasa! Sina uhakika kama kile kitabu Pendwa kilichotungwa na chenye nyimbo nzuri za kuwaburudisha mnapoandika mada kama hizi kitafanikiwa.Nawatakia safari njema.
 
Sasa hapo mbaya ni nani? aliyeletewa 10% au aliyechikichia hiyo 10%?
 
Upuuzi uliopo hapa hakuna mjinga yoyote ataleta hongo na briefcase isiyo na password, hayo danganyaneni porini huko. Labda utuambie kwamba jamaa alipewa go on apokee mzigo akabadili gia angani km kawaida yake
 


Magari ya kwanza ya wabunge hayakuwa kutoka Toyota, yalitoka Landover Uingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…