Wale tunaomiliki Ford Raptor tukutane hapa

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
1,698
2,000
😁haya maeksipiriensi ninayoyaokota kwenye hili jukwaa abt different motor vehicles,i hope sitokuja kufanya makosa nikija kuamua kutembelea matako kmmmk...😎
sir god abless tuu hizi hustle daaaadeq...mtaani watanikoma maammaeee...
 
Mkorintho

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
537
1,000
😁haya maeksipiriensi ninayoyaokota kwenye hili jukwaa abt different motor vehicles,i hope sitokuja kufanya makosa nikija kuamua kutembelea matako kmmmk...😎
sir god abless tuu hizi hustle daaaadeq...mtaani watanikoma maammaeee...
Daaah, huku Sir God abless, huku umetupania wa mtaani tutakukoma. Hivi wafikiri Sir God atabless ututaabishe tulio wengi kweli
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
36,731
2,000
Kuna mwamba mmoja hv mwanangu ana kaford focus kakipaki mwaka wa 3 sasa hvi,ameambiwa sensa ya ufunguo sijui atoe mil 4,hizi gari inaonekana wanatakiwa kuzipush kina Balhabou tu sio wa kipato cha chini kama sisi
Hahaha ukinunua hio gari unatakiwa uwe na nusu ya bei ulionunulia special kwa ajili ya maintanance😁
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,128
2,000
Hahaha ukinunua hio gari unatakiwa uwe na nusu ya bei ulionunulia special kwa ajili ya maintanance😁
Hatari nusu na robo mkuu,wakiambiwa warudi nyumbani toyota kumenoga utasikia ooooh zipo nyingi,mamamae uniqueness ina gharama zake
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,003
2,000
Kuna mwamba mmoja hv mwanangu ana kaford focus kakipaki mwaka wa 3 sasa hvi,ameambiwa sensa ya ufunguo sijui atoe mil 4,hizi gari inaonekana wanatakiwa kuzipush kina Balhabou tu sio wa kipato cha chini kama sisi
Usipojiongeza European makes utaziona chungu. Sensor ya ufunguo ya milioni 4 kwa Ford Focus?
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,128
2,000
Usipojiongeza European makes utaziona chungu. Sensor ya ufunguo ya milioni 4 kwa Ford Focus?
Ndio jamaa
Usipojiongeza European makes utaziona chungu. Sensor ya ufunguo ya milioni 4 kwa Ford Focus?
Ndio mwana hadi leo kakipaki sasa,anaambiwa labda wakakichongeshe huko china na hakitakuwa sawa kama OG
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,003
2,000
Ndio jamaa

Ndio mwana hadi leo kakipaki sasa,anaambiwa labda wakakichongeshe huko china na hakitakuwa sawa kama OG
Bob, mwambie jamaa yako ajiongeze. Atafute mwenyewe hiyo sensor kwa maduka ya online. Milioni 4 ni kama £ 1,200; sina uhakika kama kuna sensor ya ufunguo wa Ford Focus yenye bei hiyo.

Awe anacheki pia discussion forums za Ford Focus kama hii Key Programming
 
Ambition plus

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
3,181
2,000
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom