Wale tunaomiliki Ford Raptor tukutane hapa

GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
365
453
Nimenunua mwaka jana niliagiza.

Tatizo lililopo ni kuwa nikiwa katika mlima gari inapush kwenda spidi zaidi wakati hiyo hali haikuwepo. Niliipeleka kwa mafundi wa kompyuta wakanipa quote ya milioni 7 ili waagizie sensa na kuifunga.

Tatizo lilianza baada ya kupata ajali, bima walirekebisha nikaendelea kulitumia nimekuja kuanza kupata tatizo miezi miwili baada ya kutoa gereji wa bima ya Wachina Mikocheni.

Niliwarudishia wachina wakagoma wakasema wao kazi yao ishaisha nikubaliane nao upya.

Kuna mtu ambaye ashakutana na tatizo hili kama kuna fundi mzuri wa ford anayemjua ili niweze kucompare hizo cost za hawa milioni 7 ndefu aisee.
 
Natuma parts zote za ford Kama utahitaji nitumie VIN number ya hiyo ford yako harafu nikuambie bei yake nipo SA natuma kwa ndege siku chache tuu unapokea...
 
1613110034160.png
 
Tatzo lake kaliwasilisha humu kwann usijaribu kumsaidia humu ili na wengine tunufaike?
Issue kama hio ina sababu nyingi sana mpaka gari niione nifanye vipimo ndio nitajua, kuongea hapa bila kupima ni porojo tu na ndo maana nmemwambia anicheki PM ili tukutane tujue issue ni nn. Ikipona ndo atatoa mrejesho yy.

Ila kwa haraka haraka hio issue inasababishwa na MAP sensor coz hio ndio sensor inayofeed engine load. Then Control box kupitia hio load input itajua iruhusu mafuta kiasi gani kwenda kwenye engine mwisho hio inaweza ongeza au kupunguza engine speed ambapo kama gari inaendeshwa muda huo lazima ufeel kama gari inakupush mbele hv hata bila kupress acc pedal.

Sasa chanzo inawezekana MAP sensor ilifail au haiko connected sawasawa au haikuwa calibrated vzr. Hayo yote yatajulikana kama ataleta gari ifanyiwe vipomo na ku-log data za MAP....

Japo kuna posibilities nyng lakin kwa haraka hio ndo nnayoona inapercent kubwa
 
Dealer wa Ford ni CMC peleka pale wafanye diagnosis. Spea kama ghali unawezs agiza SA
 
Back
Top Bottom