Wale tunao miliki app tukutane apa

Wale tunao miliki app tukutane apa

jknhfdd

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
75
Reaction score
51
Uzi huu ni maalum kwa watu wanao miliki app ili tusaidiani mbinu mbali mbali za kupata pesa pia kupata install kwenye app zetu
 
JF ni jukwaa pendwa sana linakutanisha watu mbalimbali kupata ujuzi na maarifa. Unacho kifanya wewe ni moja ya manufaa ya JF lakini hujaitumia fursa ipasavyo.

Umeandika thread kirahisi mno. Hata hujaelezea hiyo App yako ili na sisi wengine tupate kuelewa na kuipakua inapohusika. Tumia fursa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nna app mbili moja inaitwa cheka app nyingine inaitwa magroup yetu ni spesho kwa jili ya link za ma group ya whatsapp
 
Back
Top Bottom