Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
10,518
19,883
EPISODE 1.

Nakumbuka zamani enzi nasoma secondary, home kila akiletwa house girl mpya lazima nimnyatie nimle kwa gharama yeyote ile.

Sijuwi sababu ya domo zege au ni nini? Ilikuwa sipitwi nipo radhi hata nijifiche nyuma ya mlango mradi usiku nimle.

Awe kalala au yupo macho.

Basi kuna kipindi fulani mpangaji wetu alileta house girl mpya kutoka kondoa. Binti wa kuitwa Mysara, mtoto wa Kisandawe Mysara alikuwa mweupe, Mrefu, Shepu nzuri, mwenye macho makubwa.

Mysara alikuwa mzuri haswa, alikuwa na umri kama 20 hivi. Mtoto alikuwa kakamilika kila idara. Alikuwa na sifa zote za kuwa mke wa mtu. Hakika house girls wa zamani sijuwi siku hizi wamepotelea wapi.

Zamani dada wa kazi ni warembo haswa, halafu wakubwa. Wanajielewa.

Basi vijana na wazee walikuwa wanafukuzana kumpata Mysara. Na Mimi nilikuwa kama na umri kama 19 hivi kwa kipindi hicho.

Nikasema kwenye msafara wa mamba na Mimi kenge lazima niwemo. Ngoja nimuwahi kabla manyang'au hayajanizidi kete.

Mysara alikuwa akilala chumba cha peke yake. So kumnyatia usiku haikuwa issue kubwa. Kwanza ilibidi kuzoeana na Mysara japo kidogo ili nipate urahisi wa kumpata kiulaini.

Nikaanza kumsomesha kila tukionana, Mara namfata sokoni, akawa anagoma goma.

Siku moja anakwenda dukani, nikamfata tena nikasomesha, Alinielewa kiasi, Akanambiya "njoo usiku tuongee lakini hatufanyi chochote." Nikasema ,"powa,"

Nikazama geto kwake mapema kama saa 5 usiku hivi. Nikaanza kumsomesha mtoto anipe mbunye. Mtoto hanielewi.

Sijamaliza kumsomesha vizuri, Mara mlango unagongwa, ikabidi niingie uvunguni mwa kitanda nijifiche kwanza. Mara kaingia jamaa,
kumbe naye anasomesha apewe mbunye. Dah! Jamaa kasomesha lakini yule mtoto akawa hamuelewi yule jamaa.

Sasa sijuwi sababu Mimi nipo mle au ni vp? Lakini namsikia Mysara akimwambiya yule jamaa "Leo haiwezekani,,""nipo kwenye siku zangu" Jamaa alizidi kulazimisha apewe mbunye. Baada ya dk kadhaa ya mabembelezano,
mara mlango unagongwa tena.
Aliyekuwa anagonga ni jamaa ambaye ndiyo boss wake Mysara.

Sijuwi anafata nn mida hii, sikupata majibu.

Jamaa aliyekuwa na Mysara baada ya kusikia hodi akakimbilia uvunguni.
Dah! Kumbe ni baba yngu mdogo ndy aliyekuwa na Mysara akiomba mbunye.

Nilipomuona ni yeye nilitamani kucheka nashindwa, nikabaki nimeshangaa. Basi hatukuwa na haja ya kulaumiana au kuulizana chochote tukabaki kimya tu. Tunatazamana kama majogoo.

Kikapita kimya kidogo hapo chumbani watu kama wananong'onezana. Kumbe yule boss nae anaomba mbunye kwa Mysara.

Hata sijuwi alitokaje kwa mkewe mida ile saa 6 usiku. Jamaa naye akaanza kumshikashika Mysara. Mara nipe mbunye. Mara vile,

Mysara akawa anakataa "Hapana namuogopa dada" "Dada yako kalala hawezi kuja humu" Boss alisisitiza.

Dah! Madada wa kazi wanapitia kipindi kigumu sn.

Basi kama dk 10 hivi za boss kuomba mbunye, mlango unagongwa tena.
Tena safari hii unagongwa kwa nguvu. "Mysara funguwa mlango" Alisikika mke wa boss. Ghafla boss nae tupo nae chini ya uvungu,
tumejificha.

Kumbe mke wa boss alikuja kutafuta pasi kwa ajili ya kuandaa nguo za kazini. Nikashangaa muda ule na pasi wapi kwa wapi? Zote zilikuwa janja janja na wivu tu wa yule mama. Maana maboss wakiona dada wa kazi kanona hawaishi wivu.

Basi tulijikuta watu watatu chini ya uvungu wa kitanda pamoja na boss wa Mysara bila kupenda. Hakuna mtu aliyemsemesha mwenzie, ni kimya tu.

Baada ya yule mama kuondoka mle ndani. Kazi ikawa jinsi gani tutaondoka mle. Nani ataondoka mwisho mle ndani?

Maana kila mtu aliona atakayebaki mwisho huenda ndy akala mbunye ya Mysara.

Alianza kutoka boss. Akafata Baba mdogo.

Mimi nilitoka mwisho lakini baada ya kusumbuliwa Sana na hawa jamaa nitoke humo ndani. Kumbe walikuwa wapo uani wahakikishe natoka ndy na wao wakalale. Kesho yake fully kununiana.

Shikamoo hazikujibiwa miezi 2.

Kuanzia hapo baba mdogo akanipa sifa mbaya ya mtoto mkorofi lakini ukorofi wangu watu hawauoni.

Kama na wewe uliwahi kumla dada wa kazi au kukoswakoswa kudakwa tukutane hapa.
 
leo.jpg
 
Back
Top Bottom