Wale tuliosoma advanced physics

Wale tuliosoma advanced physics

Aisee topic hizi zilikuwa vichomi.

Electromagnetism, Mechanics ( hii huwa haiishi, tulikuwa tunasoma kwa timing tuu na ujanja ujanja), Wave.

Ila kusema ukweli kufaulu mtihani wa physics advance level kunategemea na huruma ya mtungaji mtihani. Akiamua asitoke mtu hakuna mtu anayetoka. Tungeishia kuandika data given tuu.
 
Projectile, ilikuwa ukifundishwa unaelewa vizuri sana, sasa maswali kwenye mtihani hatari, unakuta swali lina assumptions kama 3 hivi ndio ufanikiwe kulifanya. Yani kuna aina ya maswali kama hukuwahi hata mfano wake na assumptions zake HUPATI kabisa.
 
Electronics ilinichanganya balaa maana tulipiga mechanics katika ku derive yale moment of inertia ya sphere, Circle haikuwa shida tukagonga Umeme mambo yakawa bien lakini tulipofika kwenye mnyama electronics nikapata kizungu zungu sana na ukizingatia miaka ya 1995/1996 photocopy zilikuwa issue maisha yalikuwa magumu sana
 
Projectile, ilikuwa ukifundishwa unaelewa vizuri sana, sasa maswali kwenye mtihani hatari, unakuta swali lina assumptions kama 3 hivi ndio ufanikiwe kulifanya. Yani kuna aina ya maswali kama hukuwahi hata mfano wake na assumptions zake HUPATI kabisa.

Lile swali la projectile katika necta ya 2007 lilinikimbiza mchakamchaka. Maana niliona vumbi tuu ndani ya chumba cha mtihani.

Ila nashukuru practicle na paper 2 iliniokoa. Vinginevyo ilikuwa hatari.
 
Kweli kabisa Mkuu, mpaka mtu mwingine aje aone paper hilo ndio agundue kulikuwa na swali hilo na alipitie, ndio anaweza kulipata . Ni hatari aisee
 
Hahahaa, nakumbuka nilitoka kwenye pepa kichwa chini. Nikaenda punguza machungu na GS mchana, kesho yake nikatulizwa na Geography. Maana nilisoma PGM.

Vinginevyo nilikuwa nishatoka katika mood ya mtihani.
 
Pole sana Mkuu. Walifanya vzr kuweka Physics na GS. Mimi nilipiga PCB
 
Back
Top Bottom