Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,443
- 6,986
Kawaida sana mkuu ila kwenye real life tunakutana na wenye one zao kwenye daladala zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida sana mkuu ila kwenye real life tunakutana na wenye one zao kwenye daladala zetu
HahahahahaKawaida sana mkuu ila kwenye real life tunakutana na wenye one zao kwenye daladala zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...utadhani mnasafiri wote...kumbe mwenzio yupo kaziniKawaida sana mkuu ila kwenye real life tunakutana na wenye one zao kwenye daladala zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nakuwa kazini mkuu! Kama kukagua mikoba na wallet za wale walobahatika kupata one zao! Nazikagua tu
UhakikaKawaida sana mkuu ila kwenye real life tunakutana na wenye one zao kwenye daladala zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha kumbe mzee wa michano daahHahaha nimecheka saana.
Nimerap saana shule mkuu...nimeshinda zawadi nyingi saana. Kubwa ni kulipiwa ada mwaka mzima sekondari na Simu.
-Sikuwa naupenda na kuamini muziki utanitoa kimaisha..niliajua narap tu kujifurahisha..nilikuwa nikiangalia maisha ya wasanii waliokuwa na majina makubwa ilihali maskani nawajua nasema hapa hapana...sitoboi.
Dogo nawewe ulikuwa unabana pua ? Hahahaha!
HahahahahaDogo nawewe ulikuwa unabana pua ? Hahahaha!
Bwahahaha, ulikuwa unajiita nani sasa ?Hahahahaha
Mkuu acha tu, enzi hizo niko form one watoto nikimba wanadondoka wenyewee!!...