Mtunzaji nyasi za mifugo huyo, atakuja Kuwa afisa mifugo huyo Dogo
Hao wasimamizi wa ranch za mifugo. Kibongobongo sijui kama inalipa
Kuna wale wamemaliza Lita-Morogoro kwa hiyo kozi mpaka leo hawajahi kuona tangazo la hiyo kitu achilia mbali kuajiriwa!
Vp kuhusu hii animal science