ningekula sehemu ya ubongoView attachment 118857
Mke na Mme wameamua kusherekea siku yao ya ndoa kwa kutengeneza keki yenye kiapo kuwa mpaka kifo kiwatenganishe 'till death do us apart' .
Keki hiyo yenye sura zao inayowaonyesha wakiwa wamekatwa vichwa na kuvuja damu!
kuanza kuikata nitahisi natenda dhambi ya kuua
kwani keki unachaguliwa pakuanza kula mekuKwanini uanzie kwenye Ubongo?