Wale mapacha walioungana wafariki Muhimbili!

umasikini mbaya sana! wangekuwa na pesa wangepe;elwa Nje hivi muhimbili kweli wangeweza kuwatenganisha hao watoto
 
si nilisikia kuwa wamefaulu vzur mthan Wa kidato cha sita?upasuaji umewasababishia umauti!!

mungu walaze mahala pema pepon!
Mkuu hawa n wengne.....wamezaliwa hiv majuz kat 2.
 
Nilijua tu Bongo zilikuwa sifa tu huo uwezo hatuna!!

Eti wanaweza kuwatenganisha!! Duuh!!

Pole yao

JPM KAMATA WEZI
 
Napata shida kuelewa inakuaje watoto wafariki wakiwa katika hospital kubwa kama Muhimbili baada ya kuishi hapo kwa wiki moja ila wameweza kuishi hospital ya Wilaya kwa zaidi ya mwezi mzima.
Mipango ya mungu watu wanakufa hospital kubwa dunia ya kwanza sembuse dunia ya tatu
 
Ume
habari kama hii inanitia uchungu mno,uwezekano wa kuwaokoa ulikuwepo why vipimo vimechukua muda mno ?huu ni uzembe someone amezembea hapa,why mpaka karne hii nchi yetu haina hospitali maalum kwa ajili ya watoto tuu,can any one tell me please may be iam missing something here?mbona wenzetu wameweza hapahapa Afrika kuwa na hospitali za watoto tuu,na uchelewesho huu pamoja na uzembe umechangiwa na foleni ya vipimo kuchukuliwa ,bila shaka vipimo vyao viliwekwa foleni moja na watu wazima,mtoto au watoto wanapofariki katika mazingira ambayo wangeweza kuokolewa huwa inaniuma mno,halafu utaona wanasiasa wanagongana kweny familia hii kujifanya wameguswa mno ,F*** and S***,poleni mno waliofiwa but nchi nyingine hawa viongozi wa hospitali hii wangekuwa na wakati mgumu wa kuelezea hili,but in our country they don't take a s***.
Ongea utumbo mtupu
 
Huji
Napata shida kuelewa inakuaje watoto wafariki wakiwa katika hospital kubwa kama Muhimbili baada ya kuishi hapo kwa wiki moja ila wameweza kuishi hospital ya Wilaya kwa zaidi ya mwezi mzima.
Hujielewi wewe,
We ndo unapanga wafie wap
 
si nilisikia kuwa wamefaulu vzur mthan Wa kidato cha sita?upasuaji umewasababishia umauti!!

mungu walaze mahala pema pepon!
Du na wewe uko wapi?
habari kama hii inanitia uchungu mno,uwezekano wa kuwaokoa ulikuwepo why vipimo vimechukua muda mno ?huu ni uzembe someone amezembea hapa,why mpaka karne hii nchi yetu haina hospitali maalum kwa ajili ya watoto tuu,can any one tell me please may be iam missing something here?mbona wenzetu wameweza hapahapa Afrika kuwa na hospitali za watoto tuu,na uchelewesho huu pamoja na uzembe umechangiwa na foleni ya vipimo kuchukuliwa ,bila shaka vipimo vyao viliwekwa foleni moja na watu wazima,mtoto au watoto wanapofariki katika mazingira ambayo wangeweza kuokolewa huwa inaniuma mno,halafu utaona wanasiasa wanagongana kweny familia hii kujifanya wameguswa mno ,F*** and S***,poleni mno waliofiwa but nchi nyingine hawa viongozi wa hospitali hii wangekuwa na wakati mgumu wa kuelezea hili,but in our country they don't take a s***.
Kulikuwa na utata bado mkuu ndiyo maana walichukuwa muda mrefu. Walitaka kujidhihirisha kabla ya kufanya upasuaji. Nadhani walisema kuna kitu walikuwa wanachangia hivyo mtoto mmoja asingepona. Sikumbuki ni kitu gani nadhani moyo au mapafu ila sikumbuki vizuri. Ila walisema hivyo.
 
si nilisikia kuwa wamefaulu vzur mthan Wa kidato cha sita?upasuaji umewasababishia umauti!!

mungu walaze mahala pema pepon!
Kuna jamaa alijifanya kwenda kwenye msiba analia "eti marehemu tumesoma nae"(kumbe anataka pilau la msiba),wakamkimbiza na bakora kwa kuwa aliyefariki alikuwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja.Ndio wewe unaambiwa mapacha wamezaliwa mwaka huu,wewe unasema ulisikia walifika kidato cha sita.

Unachanganya madesa Mkuu!
 
Back
Top Bottom