samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,476
- 24,264
habari kama hii inanitia uchungu mno,uwezekano wa kuwaokoa ulikuwepo why vipimo vimechukua muda mno ?huu ni uzembe someone amezembea hapa,why mpaka karne hii nchi yetu haina hospitali maalum kwa ajili ya watoto tuu,can any one tell me please may be iam missing something here?mbona wenzetu wameweza hapahapa Afrika kuwa na hospitali za watoto tuu,na uchelewesho huu pamoja na uzembe umechangiwa na foleni ya vipimo kuchukuliwa ,bila shaka vipimo vyao viliwekwa foleni moja na watu wazima,mtoto au watoto wanapofariki katika mazingira ambayo wangeweza kuokolewa huwa inaniuma mno,halafu utaona wanasiasa wanagongana kweny familia hii kujifanya wameguswa mno ,F*** and S***,poleni mno waliofiwa but nchi nyingine hawa viongozi wa hospitali hii wangekuwa na wakati mgumu wa kuelezea hili,but in our country they don't take a s***.
mkuu haya mambo yanatia uchungu sana, na ndio uzembe tunaoulalamikia kila siku humu kwa baadhi ya watu na watawala kushindwa kutekeleza majukumu yao, vitu vingine ni vya msingi kabisa lakini unakuta mpaka leo karne ya 21 serikali imeshindwa kuvifanya.