Wale Mafundi Wa Minara Ya Simu

Wale Mafundi Wa Minara Ya Simu


hata hiyo electoronics hayuko vizuri nikicompare na other guy ambao wamenifundisha electornics..................naongelea utabe wake wa kushika karibia nusu ya darasa........

Ni mtu mwenye experience sana na ufundishaji na kile anacho kijua na uwezo wa kuki apply katika maisha ya kawaida tofauti na wengine wana jua tu theory ila kwenye practical ni mgogoro.
Kwa kiwango chake that why walimpangia OD
 
Ambazo nazijua ni;
Triangular, Angular, Ground Base, Square, Tubular Rooftop hizi ni aina ya minara.
Gharama yake inaweza ikategemeana na Teknolojia unayotumia katika huo mnara na kampuni gani ambayo itakua inafanya hiyo shughuli.
Kwa upande wa vifaa vya Tellecom (baseband processors, transceivers, amplifiers n.k ) hua ni around 50mill hadi 100mill kwa jiri ya vifaa pamoja na ufungaji ni kwenye 50mill.
Vitu kama ( backup generators, fencing, air condition system, concrete pamoja na security system n.k ) gharana yake ni kubwa around 300mill.
Na kuna gharama zingine kuunganisha mnara katika mtandao husika hua kwenye 10mill.
...#Ethical Ninja CEH,ahsante Sana Mkuu Umefunguka Poa Sana Umetisha!
 
Back
Top Bottom