Wale mademu wanaopenda kuomba hela

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Mdada akiwa na Tabia ya kufungua sana Mikono
Kuomba-omba Hela au Kuomba-omba Vitu kutoka
kwa Mwanaume au Wanaume fulani, Ndivyo na hao
anaowaomba watakavyomuomba-omba na yeye
afungue Miguu yake pia
Kwenye Uchumi tunaita Quid Pro Quo....Nothing Goes for Nothing.
Kinachotengeneza Nyuzi ngapi Miguu yako iache
uwazi katikati inategemea na jinsi gani Mikono
yako umeifunga kutegemea Hisani kutoka kwa Mtu
au Watu...Open your hands and they open your
legs too Hivi hamjiulizi,huyo Mwanaume unayempiga
Mzinga ameitolea jasho kiasi gani hiyo hela aje
kukupa wewe kwa mteremko wa Kitonga tu??
Nitoke jasho wewe uje utikise Kalio niteme
dola..THUBUTU
 
Dah! Nimeipenda hiyo. Kwa hiyo tuwe na mikono kama kangaroo? Hamna kuhonga kiboyaboya. Noma, noma kweli
 
Gone are the days when men used to give with their hearts, they now give with their hands.

When they used to talk with their mind, they now talk with their lips.

When they used to see with their eyes, they now see with their stomach.
 
STUNTER naona mwaka huu umedhamiria kurudi tena kwa kasi

Wakikuomba waulize tu kwani ina TV ndani?
Kuna mjumbe mmoja nishawah kukoment kwenye uzi kwa Kusema KWAN INA TV NDAN?

Akanijibu akasema WE NI MJINGA SANA INAVYOONEKANA HUKO KWENU TV NDO KITU CHENYE THAMAN SANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom