Wale mabingwa wa methali twende sawa...

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
.
IMG_20180525_092205_432.jpg
 
10: Tamaa mbele mauti nyuma
9:Ulimi hauna mfupa
8:Sikio la kufa halisikii dawa
5:Haraka haraka haina baraka
4:Fuata nyuki ule asali
3:Bendera hufuata upepo
2:Baniani mbaya kiatu chake dawa
1:Aisifiaye mvua imemnyea.

Nilizoacha mnisaidie tu.
 
10: Tamaa mbele mauti nyuma
9:Ulimi hauna mfupa
8:Sikio la kufa halisikii dawa
5:Haraka haraka haina baraka
4:Fuata nyuki ule asali
3:Bendera hufuata upepo
2:Baniani mbaya kiatu chake dawa
1:Aisifiaye mvua imemnyea.

Nilizoacha mnisaidie tu.
7. Mtoto wa nyoka ni nyoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom