Wale kazi kazi ilimradi pesa

Wale kazi kazi ilimradi pesa

womanity

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
495
Reaction score
679
Uko na ndugu yako nyumbani anasumbua pesa ya vocha na nauli yaani bado hajanipata?

Je Yuko shapu na anaweza kufanya kazi Kwa uharaka,uaminifu na bila kusimamia?

Basi Kuna kibarua Cha muda mfupi Cha kubandika poster za kampuni ya simu.
Unapewa nauli

Pia Kila poster ni sh 120 Target ufike poster 100 Kwa siku
Uwe na simu janja ambayo haisumbui camera
Hii ni Kwa wakazi wa Dar es salaam tu, Hakikisha hautoki nje ya mji sana ili ufaidi pesa vizuri
Maeneo ya kukutana shekilango Yas store saa mbili kesho asubuhi ukichelewa shauri yako
Umeipenda Ni PM nikupe maelekezo umuone nani
Sitaki hata mia
Ukute na mm nabandika!!
Muhimu ;
uwe smart
Elimu ngazi yeyote
Uwe kidogo muelewa wa mitaa ya Dar hata kama si muelewa utaelekezwa
Karibu graduate mnaokula ugali wa kushiba na wale tunaoswampa na barua mikononi hatuna nauli.
 
Inawafaa sana vijana walioko home tu wanasikilizia au wale form 4 ,,,,

Riziki zikajipe
 
Yeyote ilimradi ana Miaka 18 na anaweza kufanya kazi
 
Ya kijanja sana hii 12000 kwa siku ya chap
Sina uhakika mkuu ila haya yanabandikwa kwenye maduka ya wakala si kwenye nguzi
Mbona umefunga dm yes hayo hubandikwa ktk maduka ya wakala na sehemu zinazohusika na hiyo huduma tu so ukishabandika unapiga picha kuconfirm so ni usharp na kujuwa locations
 
Humu vijana hawachangamkii kabisa yani...
Nina uzi wa ajira nimeeleza hili suala humu
 
Ya kijanja sana hii 12000 kwa siku ya chap

Mbona umefunga dm yes hayo hubandikwa ktk maduka ya wakala na sehemu zinazohusika na hiyo huduma tu so ukishabandika unapiga picha kuconfirm so ni usharp na kujuwa locations
Kabisa ngoja nifungue sujatumia siku nyingi
 
Humu vijana hawachangamkii kabisa yani...
Nina uzi wa ajira nimeeleza hili suala humu
Kila kitu watu hujua ni utapeli ndyo maana....vijana njooni Kwa Wingi shekilango..hakuna kazi nyepesi
 
Mm mtu asipm aje shekilango ....utasema umesoma post ya womanity
Utakutana na wanaohusika
Hela uhakika unapewa na nauli...acha kulala hapo kwenye sofa la shemeji Ebu njoo tubandike Poster...kama graduate unaona aibu vaa kofia chaap!!
 
Kazi ya siku ngap
 
Back
Top Bottom