Wale jamaa Zetu wale!!

Wale jamaa Zetu wale!!

naona wako bize kuandika thread za kijinga
 
hahahahaha....hii makitu mechekesha sana mimi
 
Duh. Ila buki 7 yenyewe inaonekana wanaipata kwa tabu sana.
 
Sasa hapo mpaka ikamilike buku 7 wanakaa masaa mangapi? Kazi wanayo lol!
 
wakuu naomba maelezo kidogo kuhusu hii picha..mimi sijaelewa kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom