Change_down
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 276
- 54
situation ya kwanza na ya pili hio ni encryption simu inafanya kulinda mafile yako, hasa kama unatumia memory card kwa kazi zaidi ya media mfano kustore data za application. na huko tunapokwenda mbele encryption zinaongezeka kwenye android 6 ndio itakuwa balaa zaidi.
hio ya tatu nafikiri ndio imeshakufa hapo sijui kama kuna njia nyengine, wengine wataongezea
asante mkuu kwa ufafanuzi! ila hii ya tatu inaniuma mno na ndio sababu ya kuleta hii mada hapa! pia hiyo ya kwanza simu niliyo setia password za memory card niliiuza na hiyo memo haifanyi kazi sehemu nyingine JAPO INASOMA. ya pili simu siku set password ya memo ila nilipo change simu na kuanza kuitumia ikawa ndio mwisho wake ambapo simu ya awali sina tena na HAISOMI KABISAA KWINGINE.
hizo case nita zitatuaje!
hii ya ss, simu ni mpya na memo ni mpya ila baada ya matumizi kwa mda fulani ( sijawahi jaribu kuweka password kwenye memo ila nilii set kuwa default storage) ikaniandikia SD CARD SUDDENLY UNMOUNTED na tangu muda huo mpaka ss haionyeshi kabisaaa POPOTE
unatumia operating system gani?
Ulinunua wapi? Au ndio hizi zinauzwa mitaani na wamachinga?
Mkuu. Next time.. nunua sd card original... na iwe class 10. Ni ushauri wa kuzingatia
wazo zuri, ukitaka kugundua sd card original unazigunduaje maana naona zote zina fanana
Mkuu mimi najua vifungashio vya sd kadi zangu pendwa. Na najua bei mahususi... pia naenda kwa maduka yenye uaminifu mno. Sinunui huko mtaani. Ila pia akili nyingi huitajika kutambua bidhaa bora na iliyogushiwa. Ila huwa nafanikiwa kupata orijino... napendelea San disk
hizi san disk copy zipo nyingi sana hakuna identity maalum ambayo ina bainika mapema hata ukiamua kuiingiza kwenye simu kuitest kabla ya kuilipia
Ningelikuonyesha kwa baadhi ya picha. Tofauti (physically ) ila tatizo mtandao wangu upo chini mno. Ila na wanaogushi siku izi wanaongeza teknolojia kuziba mianya yao ktk kugushi. Hivyo basi... umakini unahitajika mno.
Pili....
Ktk kugundua... tumia app kutoka playstore(android). Inaitwa "SD insight " itakusaidia kubaini hilo. Pia chunguza storage yake.
Mf ni 8gb
Ukiingiza ktk device ikisoma 5gb na ikiwa hamna kitu.... mkuu hiyo ogopa sana aisee. Ila hiyo app juu itakusaidia
nimekuelewa sana mkuu, asante sana ngoja nianze na hiyo application.
hizi san disk copy zipo nyingi sana hakuna identity maalum ambayo ina bainika mapema hata ukiamua kuiingiza kwenye simu kuitest kabla ya kuilipia
soma hii thread
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...y-card-ya-aina-gani-je-ni-sahihi-kwako-3.html
class inaandikwa juu ya memory card, kama haijaandikwa juu achana nayo. pia ukishainunua test speed yake, connect simu na pc halafu jihamishie kitu kikubwa kama movie halafu observe ile speed yake kama ni class 10 unatakiwa upate kama 10mbps speed. ikiwa chini ya hapo ujue ni kimeo.
Mkuu mimi najua vifungashio vya sd kadi zangu pendwa. Na najua bei mahususi... pia naenda kwa maduka yenye uaminifu mno. Sinunui huko mtaani. Ila pia akili nyingi huitajika kutambua bidhaa bora na iliyogushiwa. Ila huwa nafanikiwa kupata orijino... napendelea San disk
Pole sana mkuu. Ila nikupe pole... kwa picha tu. Hicho si kifungashio halisi cha sd card za san disk. Hivyo huenda ikawa ni bidhaa iliyogushiwa na haina uboraHiyo m/card ilitaka kunifanya kichaa, nilipiga picha nyingi kwa kutumia simu. Hadi memory ya simu ikawa imejaa, nikaamua kununua hiyo m/card , nikahamisha picha zote muhimu, nilikuwa pia nataka nikaziprint. Nilivyozihamisha tu picha zote nimegoma kufunguka pia zimegoma kurudi kwny simu!!!! Wadau kama kuna msaada naomba kupitia mada hii nami nisaidiwe.
Pole sana mkuu. Ila nikupe pole... kwa picha tu. Hicho si kifungashio halisi cha sd card za san disk. Hivyo huenda ikawa ni bidhaa iliyogushiwa na haina ubora