yale majina yalikuwa ya wale ndugu zetu waliokimbizwa uwanja wa taifa.
Sijui na mwakani nako watatufanyia hivi hivi?
Dah, leo msafara wa Mwenge umekatiza hapa mabibo, kwa jinsi ulivyokuwa umesheheni nyomi, niewaza sana juu ya government expenditures kwenye mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa!
Badala ya kuwekeza katika miradi ya kupunguza tatizo la ajira, wao wanakimbizana na mwenge huku wakila kodi ya wenyenchi!