Walala wa pesa

Mwenye lipa namba si atakuja kutoa kwako?
 
Commission zake ndogo sana
Endelea kukomaa boss..
Mimi ofisi yangu mpya ya NMB inazalisha commision 50,000 kwa mwezi na nishaomba mashine ya ofisi ya 5..!!!
Naendelea kufungua ofisi tu.
Sijali kiwango cha kamisheni mimi Natembea mbeleee....

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…