"Walafi Wa Taifa"Msimgeuze Hayati Magufuli Kichaka!

"Walafi Wa Taifa"Msimgeuze Hayati Magufuli Kichaka!

Kupata wabunge wengi kuingia bungeni na kupambana na hilo genge kwa hoja nzito huku wananchi wakishuhudia live na kufunguka macho.

Inahitajika bunge mseto lenye watu weledi tofauti na hilo la chawa wa Samia waliojazana Dodoma kusaka tonge!
Ndo mjomba wako aliliharibu sasa.
 
Majizi yote sasa hivi mmegeuza jina "Magufuli" kuwa kichaka cha kujifichia pale mnapobanwa na ripoti ya CAG 2021-2022. Mmekosa pa kufichia sura zenu za kilafi,sasa mnatapatapa ovyo kujinusuru bila tija.

Wale aliowakataa Magufuli ndio wizara zao zinaongoza kwa wizi.

Nape Nnauye - Yuko kwenye payroll ya makampuni ya mawasiliano,king pin akiwa R'A na Tigo yake.

January Makamba - Huyu ameiba kupitia miradi ya kifisadi pale Tanesco,mpaka amevimbewa na sasa anahonga kina Babra magari V8 ya kifahari,na Mteuzi anamiogopa hata kumsema tu!

Mwigulu Nchemba - Madudu yote yalioainishwa na CAG,yanamhusu yeye moja kwa moja,ni kwamba yeye ndie bosi wa katibu mkuu wa hazina ambaye ndiye muidhinishaji na mlipaji mkuu.

Halafu yakishaiba yanakodi vijana wajinga wajinga kuja Mitandaoni kumchafua Magufuli,ili kututoa kwenye reli!

Tunaona mpaka mmewakodi waandishi uchwara wasakatonge kina Absalom kibanda & the group,ili kuandika kitabu kupambana na Magufuli kaburini.lakini muelewe Magufuli hachafuki.

Kadri mnavyojitahidi kumchafua,ndivyo anavyozidi kung'ara na kukumbukwa kwa mazuri yake.

Ripoti ya CAG imewaumbua woote na kinara wenu huyo bingwa wa kulalamika!

2025 sio mbali,labda kupona kwenu kutatokana na kuwaingiza wapinzani kundini kulamba asali kama tunavyoina ikiendelea kwa sasa!
Unamkumbuka peke yako uliyenufaika

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kupata wabunge wengi kuingia bungeni na kupambana na hilo genge kwa hoja nzito huku wananchi wakishuhudia live na kufunguka macho.

Inahitajika bunge mseto lenye watu weledi tofauti na hilo la chawa wa Samia waliojazana Dodoma kusaka tonge!
Unaogopa ukweli hawa wabunge wameingizwa na jambazi Magufuli kwenye uchafuzi wa 2020.

Ila kwa sababu mfumo wa CCM ni uchawa kwa aliye na mamlaka na mwenye mamlaka sasa ni Samia, na wabunge mpaka spika wao hawako competent lazima watamuimbia mapambio aliye na mamlaka, hawana uwezo mentally or morality ya kuchallenge mhimili uliojichimbia chini sana. Maana hili ni bunge bovu kuwahi kutokea katika historia ya nchi hoi.

Wa kumlaumu ni shetani Magufuli Mungu wenu mnaetetea
 
Ujinga mtupu nilidhani umeandika mambo ya maana kumbe ujinga
 
Unaogopa ukweli hawa wabunge wameingizwa na jambazi Magufuli kwenye uchafuzi wa 2020.

Ila kwa sababu mfumo wa CCM ni uchawa kwa aliye na mamlaka na mwenye mamlaka sasa ni Samia, na wabunge mpaka spika wao hawako competent lazima watamuimbia mapambio aliye na mamlaka, hawana uwezo mentally or morality ya kuchallenge mhimili uliojichimbia chini sana. Maana hili ni bunge bovu kuwahi kutokea katika historia ya nchi hoi.

Wa kumlaumu ni shetani Magufuli Mungu wenu mnaetetea
Kina mwigulu,msoga na marope wameingizwa na Magufuli?tumieni Akili mleta mada yupo sahihi msijifiche kwa magufuli.
 
Kina mwigulu,msoga na marope wameingizwa na Magufuli?tumieni Akili mleta mada yupo sahihi msijifiche kwa magufuli.
Mpuuzi wewe uchaguzi wa 2020 ulioporwa na shetani Magufuli hawakuwepo? Au uchaguzi gani uliowaingiza bungeni na madarakani?
 
Mpuuzi wewe uchaguzi wa 2020 ulioporwa na shetani Magufuli hawakuwepo? Au uchaguzi gani uliowaingiza bungeni na madarakani?
Unamaanisha lisu alipata Kura nyingi dhidi ya Magufuli kwenye manyumbu hamna Akili.
 
Unamaanisha lisu alipata Kura nyingi dhidi ya Magufuli kwenye manyumbu hamna Akili.
Kijibwa cha bosi kama alipata kura chache kwa nini mliiba uchaguzi?
Nyie ni mbwa tu mnabweka hamna hoja bwekeni kufurahisha mabwana wenu
 
Kulialia kawaida na hakuna cha kufanya
Hiyo ndio slogan ya muafrika na yeye akishika dola au madaraka anasahau ya zamani na yeye anakuwa sio mwizi tu bali katili na muuwaji haswa huku ukisema tumeibiwa sana

Hakuna muaminifu kwenye vyeo vyenu na anaepata mwanya anaiba haswa hata ikimlazimu kuwauwa wenzie

Kweli wale vijana waliokuwa wamekaa kimya kwa woga leo wamepata madaraka wanawaona mafala na wanaiba haswa na hamuwezi kufanya kitu zaidi ya kelele za chura
 
Raisi ajaye awe Asadi. Yule Mkaguzi Mkuu mstaafu wa hesabu za Serikali.
Kwangu ndiye ninayemwona kuwa na uzalendo zaidi wa kiuongozi.

Aliwahi kusemaga.
" matatizo yanayo anzisha na watu wale wale hayawezi kutatuliwa na watu wale wale"

Africa tunawachagua viongozi kwa kulinda Chama fulani na sio kuilinda nchi.
Ndio maana bado tupo maskini wa kutisha.
 
Kulialia kawaida na hakuna cha kufanya
Hiyo ndio slogan ya muafrika na yeye akishika dola au madaraka anasahau ya zamani na yeye anakuwa sio mwizi tu bali katili na muuwaji haswa huku ukisema tumeibiwa sana

Hakuna muaminifu kwenye vyeo vyenu na anaepata mwanya anaiba haswa hata ikimlazimu kuwauwa wenzie

Kweli wale vijana waliokuwa wamekaa kimya kwa woga leo wamepata madaraka wanawaona mafala na wanaiba haswa na hamuwezi kufanya kitu zaidi ya kelele za chura
Hakika umenena kweli. Ndio hulka yetu wabongo
 
Back
Top Bottom