Sure yaanπππ Yes yes
Hiii mambo ya "trend is your friend" ndio tulipigwa nayo kule kwenye forex"Trend is your friend until it bends at the end"
" Go with the flow"
πHiii mambo ya "trend is your friend" ndio tulipigwa nayo kule kwenye forex
Doooh pole tajiri sio kila king'acho ni dhahabu mengine mawe ya chumvi π π π ila utakuwa umejifunza iyo inaitwa karibu mjini.Hiii mambo ya "trend is your friend" ndio tulipigwa nayo kule kwenye forex
Unajenga nyingine kaka sema bati huwa fashion yake ni miaka kumi au saba yaani ni bidhaa zinazo kaa sokoni muda mrefuHapo kwenye bati jipya hapo mmmmh yani ni ngoe msauzi hata mwaka hauna kisa kuna bati jipya limekuja [emoji848]
Kujenga nyumba nyingine sio kama kitambi ukila kina kuja tuUnajenga nyingine kaka sema bati huwa fashion yake ni miaka kumi au saba yaani ni bidhaa zinazo kaa sokoni muda mrefu
Tuliambiwa trend is your friend go with it lakin wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uki buy ni mseleleko tuDoooh pole tajiri sio kila king'acho ni dhahabu mengine mawe ya chumvi [emoji28][emoji28][emoji28] ila utakuwa umejifunza iyo inaitwa karibu mjini.
Eti foreks is not for everyone. [emoji23] Yaani wanga'ata na kupuliza ukija kushutuka MT4 hazipandi. Hii ni sawa na kumpa demu lift anashutuka yuko ghetto anaona kama ndoto alifikaje? Kushutuka ashalowa.
Kasome tena utafanikiwa, au nenda confirm trend alafu tafuta divergence, utakuwa na high probability ya kuwinππTuliambiwa trend is your friend go with it lakin wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uki buy ni mseleleko tu
Hayo yote siyahitaji kwa sasa nimeshachagua sehem sahihi [emoji23][emoji23]Kasome tena utafanikiwa, au nenda confirm trend alafu tafuta divergence, utakuwa na high probability ya kuwin[emoji23][emoji23]