falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,159
- 9,241
Katika uandishi lazima uwavutie wasomaji wako.Duuuu kichwa cha thread kinakinzana na content ......
Tatizo ni hizo gongo ulokunywa asubuhi hii ndyo inakupa uchizi kutaja taja wilaya.Sengerema, misungwi, Maswa, Bariadi , tinde,
Umepasahau Lusaunga na buseresereWatanzania waliopo Ngara, Chato, Geita, , Kasulu, Kahama, uvinza, Kibondo, kakonko, bahi , kondoa , manyoni, itigi, Shelui, Igunga, Nzega, Didia lohumbo, ushetu, chambo, mlele, sikonge, Urambo, Tabora, nkwenda, mubira , kaisho, Benako, ushirombo, Bukombe, tukuyu, mwakareli, , Makongorosi, chunya, kyela, chimara, Mbeya, Iringa, Makete, Mafinga, ifunda, Tosa, makambako,