Wala bata wa JF

Niko hapa napata mbege kwanza
 
Attachments

  • FB_IMG_1779124429071.jpg
    103.9 KB · Views: 13
Hivi kula bata ni kula na kunywa mabia tu? Haya kama ni hivyo hilo bata linaliwa kwa msuguri, temboni, tegeta, katoro, nkuhungu, R chuga, na kwingineko tu? Yaani hata kufika hapo Ngorongoro Crater, Dubai, Bahamas, na kwingineko ni shida?
 
Matumizi ni mipango.. Bata ni zaidi ya hivyo .. Ila kuna mikasi nk
Ruksa kuweka ziada sisi tumeweka tuliyoweza na mengine ni ya wengine tumenakili tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…