UUNGWANA (nadhani ndiyo unaitwa ustaarabu) ni tabia ambayo hata kama umezaliwa hunayo, wazazi wenye kujali malezi hujitahidi kuifunza kwa mtoto. WALIOWENGI katika jeshi letu la polisi ukijaribu kufuatilia background zao KAMWE HUTOWAAMINI KAMA WALINZI WA USALAMA WAKO (sisi raia)!! Tumeharibu fani zote za watoa huduma kwa jamii kwa kuchukua waliofeli zaidi; waliokwama katika fani nyingine na, kulishehenesha zaidi tatizo wakishapata ajira wnafanya kazi kwenye mazingira mabaya kuliko mwajiriwa mwingine yoyote wa serikali...
Polisi wa Tanzania kwa kuwa KATILI (hadi kumuuliza njia uawaza mara mbili; sembuse kumfunga Dogo gidamu za kiatu??), WAKOSA WEREVU na UZEMBE uliokithiri shutuma kubwa inaelekezwa kwa SERIKALI. Usipokuwa na mfumo uliokuwa imara na kusimamiwa, kamwe usitegemee MIUJIZA YA UFANISI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.